Behind the curtain: September 11

Behind the curtain: September 11

Pamoja sana mkuu! Salute
The Bold naomba kama una hivi vutabu vya aina hii nipanue uelewa pia maana kuna story nyingi sana za kuhusu Osama na Al Qaeda wapo wanaosema kuwa Osama hakuwa na nguvu yoyote kijeshi,kimkakati na kiuchumi wa kulipua WTC isipo kuwa ni Mossad ndo walifanya hivi ili kuanzisha ''The War On Terror,sasa bado napitia conspiracy mbalimbali kujua nini ni ukweli,
natanguliza shukrani
 
Nimemuachia ukumbi bwana mkubwa ajiachie, nilitaka niweke record sawasawa, nashawishika kuwa huenda kuna decision makers/policy makers au wale ambao wana influence maamuzi ya nchi/serikali wakapita hapa kunyakua mawili matatu, ni vyema kuelezea kiini cha tatizo (course) (proactive) halisi kabla ya ku-rush kwenye kuelezea 'reactive' consequences za CIA, AL Queda, et al.

Radical Islam its a contemporary axis of balance btn peace and conflicts, and may be in half a century to come, if not more, will be, failing to comprahandle the core course of the problem will leave us dealing with what is urgent and not what is important which is an important element in national security decision making process.

Unless ameleta 'story' tam...
Mkuu uko vzr nakuelewa ujue
 
The Bold naomba kama una hivi vutabu vya aina hii nipanue uelewa pia maana kuna story nyingi sana za kuhusu Osama na Al Qaeda wapo wanaosema kuwa Osama hakuwa na nguvu yoyote kijeshi,kimkakati na kiuchumi wa kulipua WTC isipo kuwa ni Mossad ndo walifanya hivi ili kuanzisha ''The War On Terror,sasa bado napitia conspiracy mbalimbali kujua nini ni ukweli,
natanguliza shukrani
Inasemekana Wayahudi wote waliokuwa wanafanyakazi WTC hawakwenda kazini september 11. That means hakuna Myahudi hata mmoja aliyekufa katika shambulio lile.
 
Inasemekana Wayahudi wote waliokuwa wanafanyakazi WTC hawakwenda kazini september 11. That means hakuna Myahudi hata mmoja aliyekufa katika shambulio lile.
Ina maana walijua nini kinatarajia kutokea,mossa wanakwepa vipi hili? ngoja tusome zaidi
 
Ahsante mkuu The bold

Umenifungua akili kwa hali ya juu na kung'amua mambo mengi ambayo kwa muda mrefu sikuwahi kupata majibu yake...ngoja niendelee kufuatilia hakuna kilichojificha kitakosa kufichuliwa

Time is our true friend!!!
Shukrani sana kiongozi..
Tuko pamoja!
 
Back
Top Bottom