Behind the curtain: September 11

Behind the curtain: September 11

Kaka Manda funguo uzi (Thread) wako wenye hizo habari, humu ndani umemezwa na The bold , inaonekana una habari nzuri sana japo zinafanana na hizi lakini zako zinakauyofauti kidogo

Nimemuachia ukumbi bwana mkubwa ajiachie, nilitaka niweke record sawasawa, nashawishika kuwa huenda kuna decision makers/policy makers au wale ambao wana influence maamuzi ya nchi/serikali wakapita hapa kunyakua mawili matatu, ni vyema kuelezea kiini cha tatizo (course) (proactive) halisi kabla ya ku-rush kwenye kuelezea 'reactive' consequences za CIA, AL Queda, et al.

Radical Islam its a contemporary axis of balance btn peace and conflicts, and may be in half a century to come, if not more, will be, failing to comprahandle the core course of the problem will leave us dealing with what is urgent and not what is important which is an important element in national security decision making process.

Unless ameleta 'story' tam...
 
Yah ndio tunashauri fungua thread na uweke hayo makitu yako, maana yanaonekana ni matamu na yako tofauti kidogo na haya, kwani wewe umeenda ndani sana kwenye shina Kabisa
 
Ni mkewangu Mkuu.. Siku si nyingi tunahalalisha kabisa
ohh ,, sio mke ni MCHUMBA ....ukihalalisha unaruksa ya kumwita sasa MKE ....kila la kheri kaka,, ndoa tamu namkaribisha Niffah kwenye chama chetu ...ajiandae kabisa kiasaikolojia mana dah sasa hiv mabinti hawakuoni ila ukishavaa pete tu wanakuja kama mafuriko ya jangwani ,,
 
Ahsante mkuu The bold

Umenifungua akili kwa hali ya juu na kung'amua mambo mengi ambayo kwa muda mrefu sikuwahi kupata majibu yake...ngoja niendelee kufuatilia hakuna kilichojificha kitakosa kufichuliwa

Time is our true friend!!!
 
Back
Top Bottom