Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,717
- Thread starter
- #1,021
Ijumaa Mkuu..Inayofuata lini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ijumaa Mkuu..Inayofuata lini?
Mahaba ya dhati kabisa mkuuNimeona nimuweke mkewangu avatar.. Siku yao leo
Pamoja sana Mkuu..Asante sana ndugu
Shukrani kiongozi..Big up mkuu
Rudi ukurasa mmoja nyuma..sehemu ya 11 bao tu
Nitakutag Mkuu bila shaka! Pamoja sana..Shukrani mkuu the Bold kwa uchambuzi wako murua. Nasubiri nijue hayo malengo ya kwa nini serikali ya merekani ilihitaji tukio hilo litokee.
Tutakutana ijumaa ikiwa heri, hapa hapa kilingeni. Pamoja sana mkuu, na usinisahau kwenye ufalme wako.
ShukraniNitakutag Mkuu bila shaka! Pamoja sana..
Shukrani mkuuNitakutag Mkuu bila shaka! Pamoja sana..
Safi sana,kuna vitu inafana na hiii simulizi yakoIle hata uiangalie kila siku huwezi kuichoka..
Thank you hubby bae [emoji8]Nimeona nimuweke mkewangu avatar.. Siku yao leo
Kama ningekuwa na mchepuko ningeumbuka leo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu kazi nzuri, Nimependa hiyo Avator ya mkeo, Ila kua makini wageni wataanza kukuPM wakijua ndo Nifah
Ha ha ha haaaa... Kabisaaaa, unajua mwanzoni naona comments najua ni wewe coz of Avatar, but nikiangalia Mwandiko naona ni Wa Jamaa, ikabidi niangalia username, khaaaa.. Makubwa ya Jongo, lakini inapendeza sana, mimi na Wife tunashare simu.. Bundle ikikata kwangu naendeleza na yake, yake ikikakata anachukua yangu.Kama ningekuwa na mchepuko ningeumbuka leo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]