Tetesi: Behind the scene: Gen Nkaissery Death

Was Nkaissery Assasinated? Who Benefits?

Our Hypothesis on Nkaissery's Death and the On-going civilian Coup by the Judiciary

Source: THE 5TH ESTATE
 
Lol!!!"

A man with a "poison proof" sat on the "poisoned" chair intended for Raila......

garbage.jpg
You never know, may he was forced to sit their. Based on the deceased love to his countrymen,he though a while. Later came up with idea "ya kujitoa sadaka". Alijua ingegundulika kuwa kiti kilitegwa sumu ya kumuua Raila, Kenya ingerudi kwenye mapigano makali zaidi ya Kikabila tena kuliko yale ya kipindi kile.

Vipi haumini theory hii? mimi ni kama naiamini ila sina ushahidi.
 
Watch out 2020 u guys very serious tatizo miticash

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
 
Unapokula kiapo serikalini,ukikivunja umekwenda na maji hivyo.Though i don't buy this crap.
 
How come ther minister is the one who advise Raila not to go to uhuru park as the seats were poisoned, and he himself goes and sit in the same seats and ends up dead. Pls do back to your drawing board and concote another story
Hata pia na mimi najiuliza hilo swali mbona yeye kakalia hicho kiti?
 
Kuna connection na mauaji ya Saitoti in 2013 karibia na uchaguzi. Sources zilisema alitishia kugombea urais kitendo ambacho kingempunguzia Uhuru kura kwa kugawana kura za wakikuyu. Mengi tu bado yatasemwa ila kuna wale waliokuwa wanaitwa Mongiki sasa hivi ni Mount Kenya Cartels
Saitot hakuwa mkikuyu wangegawana vipi
 
Raila hata alipokufa Fidel alitaka kuwasingizia Wakikuyu na kuficha ukweli wa kifo chake ili kupata wafuasi

Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app
 
Naona Raila anatafuta kura za huruma, hata jana alipougua wakasema amekuwa poisoned kwa akili yangu haiku sound. Anatafta kura tu. Jamaa huyo jaduong mumiangalie sana anapalilia sana ikulu kuna nini?
 
You never know, may he was forced to sit their. Based on the deceased love to his countrymen,he though a while. Later came up with idea "ya kujitoa sadaka". Alijua ingegundulika kuwa kiti kilitegwa sumu ya kumuua Raila, Kenya ingerudi kwenye mapigano makali zaidi ya Kikabila tena kuliko yale ya kipindi kile.

Vipi haumini theory hii? mimi ni kama naiamini ila sina ushahidi.

Oh plizz! Let the probe establish what killed the minister. Tgese theories are bogus, and are not helping, except raising fear and tension in the country.

At least he should have presented the evidence, the source of his/ her info as well as explain how the poison on the chair works.
 
Raila hata alipokufa Fidel alitaka kuwasingizia Wakikuyu na kuficha ukweli wa kifo chake ili kupata wafuasi

Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app
Raila hata alipokufa Fidel alitaka kuwasingizia Wakikuyu na kuficha ukweli wa kifo chake ili kupata wafuasi

Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app

tudhibitishie hili..kuliko huu ushoga unausemea hapa
 
Oh plizz! Let the probe establish what killed the minister. Tgese theories are bogus, and are not helping, except raising fear and tension in the country.

At least he should have presented the evidence, the source of his/ her info as well as explain how the poison on the chair works.
For that matter stop, bullying those who are concern with prospect of Maa Community and peaceful future of Kenya.
 
tudhibitishie hili..kuliko huu ushoga unausemea hapa
Wapi Ripoti ya Kifo cha Fidel aliyemtoa Kafara mwenyewe wakaishia kutukana Wakikuyu kwenye Mazishi

Back
Top Bottom