Tetesi: Behind the scene: Gen Nkaissery Death

Tetesi: Behind the scene: Gen Nkaissery Death

Mimi sitaki ukabila ila naamini Kenya bado haijawa Huru nazan kuna cartel flan linafanya decision ambalo lipo chini ya kabila moja au mbili naamini siku Mjaluo ambao wamenyanyaswa sana Kenya au mmasai atakua Rais ndio tutaona Kenya mpya yenye Umoja na Maendeleo
 
Back
Top Bottom