Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
luangalila mkorinto joto la jiwe ichoboy01 Geza Ulole mulisaaa MOTOCHINI MK254 Lewis254 @kaafrican can you please confirm your one and only beloved Dreamliner kupata ajali na kufichwa ili kufanyiwa repairs.
luangalila mkorinto joto la jiwe ichoboy01 Geza Ulole mulisaaa MOTOCHINI MK254 Lewis254 @kaafrican can you please confirm your one and only beloved Dreamliner kupata ajali na kufichwa ili kufanyiwa repairs.
Dreamliner ATCL kafichwa watu wasihoji ilikuwa 2nd hand.
View attachment 1031792
Tanzania SGR be looking like
train stations si kitu muhimu! Muhimu ni kuwa na superior rail inayoweza ku-convey goods at fast speed (120 km/h cargo n 160 km/h pax n room for improvement instead of 80 km/h cargo n 110 km/h pax) and affordable cost (electrical instead of diesel that's vulnerable to global oil prices)!Tukubali kuwa wapinzani wetu wako sahihi. Designers wa hii station walichemka. Kwa ufupi hii station haina hadhi ya reli inayojengwa karne hii ya 21.
Dizine za vituo vidogo zinafanana except station kubwa angalia miradi mingine kwenye nchi zilizoendelea utakuja kuleta mrejeshoTukubali kuwa wapinzani wetu wako sahihi. Designers wa hii station walichemka. Kwa ufupi hii station haina hadhi ya reli inayojengwa karne hii ya 21.
Tukubali kuwa wapinzani wetu wako sahihi. Designers wa hii station walichemka. Kwa ufupi hii station haina hadhi ya reli inayojengwa karne hii ya 21.
Fuatilia designs zinazo trend sasa hivi. Hiko kituo ni contempo design, hii ndiyo imeshika chati sasa hivi. Labda ungeongelea ukubwa na hamna mahitaji ya kituo cha Soga kuwa kikubwa.Tukubali kuwa wapinzani wetu wako sahihi. Designers wa hii station walichemka. Kwa ufupi hii station haina hadhi ya reli inayojengwa karne hii ya 21.
Nyinyi hamjui kuwa hiyo sgr itakuwa mwendokasi yani 160kph,ya umeme tena ule wa mgao 1350mw.
Tumpatie hii ya Ethiopia....Hii ni station iliyojengwa na Yarp Merkez Ethiopia...Station ndogo...Yakwetu will be more attractive cause it will be covered by glass...Station sio sehemu ya kulala.Dizine za vituo vidogo zinafanana except station kubwa angalia miradi mingine kwenye nchi zilizoendelea utakuja kuleta mrejesho