Behold! The best railway in Africa!

Behold! The best railway in Africa!

👏 👏 👏 baby love wa mtoa mada ,wewe so mzalendo kipofu. Pale wewe hukosea ni kuwatetea waume zako ambao hukutanua 357°
Oohh, sikujuwa kuwa uzalendo ni hata unapoingizwa kidole unasema weka mkono wote. Kama ufanyavyo.
 
We don't want renders. People can draw anything to fool you. Show us the real stations. Our smaller stations look good. Look at Suswa station under construction, can you compare it with that shit of yours?

1875585.jpg
Small boys ranting 'my daddy's is bigger than yours' syndrome. What a shame.
 
Wakenya wapo sahihi sana kwenye hili. Station ya Soga ilitakiwa iwe kubwa na ya kisasa zaidi kwani ina represent mkoa mzima wa Pwani, mkoa ambao ni unofficial Industrial region ya Tanzania.

Viwanda vingi sana vinajengwa mkoa wa Pwani na vingi zaidi vitajengwa si mbali sana na Soga, hicho ki station kama boksi karne hii hakifai kabisa. Designers wetu ni bogus kabisa.

Station ya Soga in a very near future itakuwa busy kuliko ya Dar kwa sababu Dar hakuna expansion ya jiji, expansion yoyote itaelekea magharibi ya Dar. Miaka 20 ijayo Soga station itakuwa katikati ya metropolis.

Watanzania tupo kama kipofu aliyeona punda.
 
Meanwhile the chinese have choosen the kenyan sgr as one of their landbridge across the atlantic,the belt and road initiative is real,when it materializes the ripple effects will be immense,especially for african intra trade,kenya is set to benefit massively since it is a net exporter to africa,,,,,AFRICA RISING😎
 
Eti demand. Miundo mbinu kama hii ni ya kudumu kwa miaka mingi alafu lengo kuu huwa ni kuinua sehemu zote inazopita kihali na kimali. Nyinyi mnajenga mkitizama uchaguzi mkuu unaowadia? Wenzenu wanajenga miundo mbinu ya miaka ya baadaye kabisa.
Bora ujenge kidogo demand ikiongezeka tutapanua tuu kuliko kutumia gharama kubwa kwa kitu ambacho kinaweza badilishwa huko mbelee... Ndio maana miradi yenu mingi ya kawaida Ila hela mnapgwa ndefu kisa sifa na kutokufikiriaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Compare the differences between kenya SGR and Tanzania SGR and make your judgement on the issue of quality. Nairobi Naivasha SGR
sgr1.jpeg

sgr2.jpeg
sgr3.jpeg
sgr5.jpeg
sgr6.jpeg
sgr7.jpeg
sgr9.jpeg
 
Bora ujenge kidogo demand ikiongezeka tutapanua tuu kuliko kutumia gharama kubwa kwa kitu ambacho kinaweza badilishwa huko mbelee... Ndio maana miradi yenu mingi ya kawaida Ila hela mnapgwa ndefu kisa sifa na kutokufikiriaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo hesabu ni za 'minus'. Ndio maana huwa mnajenga mabarabara kisha mnazibomoa na kujenga upya baada ya muda mfupi. Hapo ndio gharama huwa zinazidi kuongezeka sio kupungua. Miundo mbinu kama hii ni ya kujengwa mara moja kutoka zero hadi ikamilike bila ya kurejea rejea upya. Sio mnajenga kiholela na vision ya miezi mitatu tu mbele kama kibanda cha Mama Ntilie.
 
reference Soga.....mkavute bange tu na githeri
 
Wakenya wapo sahihi sana kwenye hili. Station ya Soga ilitakiwa iwe kubwa na ya kisasa zaidi kwani ina represent mkoa mzima wa Pwani, mkoa ambao ni unofficial Industrial region ya Tanzania.

Viwanda vingi sana vinajengwa mkoa wa Pwani na vingi zaidi vitajengwa si mbali sana na Soga, hicho ki station kama boksi karne hii hakifai kabisa. Designers wetu ni bogus kabisa.

Station ya Soga in a very near future itakuwa busy kuliko ya Dar kwa sababu Dar hakuna expansion ya jiji, expansion yoyote itaelekea magharibi ya Dar. Miaka 20 ijayo Soga station itakuwa katikati ya metropolis.

Watanzania tupo kama kipofu aliyeona

😀😀😀😀
 
Hizo hesabu ni za 'minus'. Ndio maana huwa mnajenga mabarabara kisha mnazibomoa na kujenga upya baada ya muda mfupi. Hapo ndio gharama huwa zinazidi kuongezeka sio kupungua. Miundo mbinu kama hii ni ya kujengwa mara moja kutoka zero hadi ikamilike bila ya kurejea rejea upya. Sio mnajenga kiholela na vision ya miezi mitatu tu mbele kama kibanda cha Mama Ntilie.

Kama nyinyi mlivyo rahisisha kazi baada ya kujenga thika super highway,ikaonekana haina haja ya kuanza kujenga tena BRT lines,ni kupaka rangi nyekundu tu,na kuchukua buses hapo hapo kenya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Kwakweli mna akili sana[emoji38][emoji38].si kila sehemu zinahitaji shortcut.
 
Back
Top Bottom