Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
mmechapwa na wachina mnabisha? fanya kama unajikuna uchezee fimbo za mchina tenaTihihi mmetafunwa na mtiriki....Fullstop...Uruke juu utoe Suruali ufinikie kichwani......Hamna chochote hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mmechapwa na wachina mnabisha? fanya kama unajikuna uchezee fimbo za mchina tenaTihihi mmetafunwa na mtiriki....Fullstop...Uruke juu utoe Suruali ufinikie kichwani......Hamna chochote hapo
Oohh, sikujuwa kuwa uzalendo ni hata unapoingizwa kidole unasema weka mkono wote. Kama ufanyavyo.👏 👏 👏 baby love wa mtoa mada ,wewe so mzalendo kipofu. Pale wewe hukosea ni kuwatetea waume zako ambao hukutanua 357°
Small boys ranting 'my daddy's is bigger than yours' syndrome. What a shame.We don't want renders. People can draw anything to fool you. Show us the real stations. Our smaller stations look good. Look at Suswa station under construction, can you compare it with that shit of yours?
![]()
Afadhali ya kibanda cha mboga kuliko ndege tatu
Go back to mama nanny boy. You need a lot of mentoring to be granted the privilege of engaging me.Small boys ranting 'my daddy's is bigger than yours' syndrome. What a shame.
A little boy trying to be a big boy. What a laugh.Go back to mama nanny boy. You need a lot of mentoring to be granted the privilege of engaging me.
Wakenya wapo sahihi sana kwenye hili. Station ya Soga ilitakiwa iwe kubwa na ya kisasa zaidi kwani ina represent mkoa mzima wa Pwani, mkoa ambao ni unofficial Industrial region ya Tanzania.
Viwanda vingi sana vinajengwa mkoa wa Pwani na vingi zaidi vitajengwa si mbali sana na Soga, hicho ki station kama boksi karne hii hakifai kabisa. Designers wetu ni bogus kabisa.
Station ya Soga in a very near future itakuwa busy kuliko ya Dar kwa sababu Dar hakuna expansion ya jiji, expansion yoyote itaelekea magharibi ya Dar. Miaka 20 ijayo Soga station itakuwa katikati ya metropolis.
Watanzania tupo kama kipofu aliyeona punda.
[emoji23][emoji23][emoji23]Afadhali ya kibanda cha mboga kuliko ndege tatu
Bora ujenge kidogo demand ikiongezeka tutapanua tuu kuliko kutumia gharama kubwa kwa kitu ambacho kinaweza badilishwa huko mbelee... Ndio maana miradi yenu mingi ya kawaida Ila hela mnapgwa ndefu kisa sifa na kutokufikiriaaEti demand. Miundo mbinu kama hii ni ya kudumu kwa miaka mingi alafu lengo kuu huwa ni kuinua sehemu zote inazopita kihali na kimali. Nyinyi mnajenga mkitizama uchaguzi mkuu unaowadia? Wenzenu wanajenga miundo mbinu ya miaka ya baadaye kabisa.
Weka train yenu ikisonga hata 0km/h nitoke JF kilaza!
Hizo hesabu ni za 'minus'. Ndio maana huwa mnajenga mabarabara kisha mnazibomoa na kujenga upya baada ya muda mfupi. Hapo ndio gharama huwa zinazidi kuongezeka sio kupungua. Miundo mbinu kama hii ni ya kujengwa mara moja kutoka zero hadi ikamilike bila ya kurejea rejea upya. Sio mnajenga kiholela na vision ya miezi mitatu tu mbele kama kibanda cha Mama Ntilie.Bora ujenge kidogo demand ikiongezeka tutapanua tuu kuliko kutumia gharama kubwa kwa kitu ambacho kinaweza badilishwa huko mbelee... Ndio maana miradi yenu mingi ya kawaida Ila hela mnapgwa ndefu kisa sifa na kutokufikiriaa
Sent using Jamii Forums mobile app
reference Soga.....mkavute bange tu na githeriHizo hesabu ni za 'minus'. Ndio maana huwa mnajenga mabarabara kisha mnazibomoa na kujenga upya baada ya muda mfupi. Hapo ndio gharama huwa zinazidi kuongezeka sio kupungua. Miundo mbinu kama hii ni ya kujengwa mara moja kutoka zero hadi ikamilike bila ya kurejea rejea upya. Sio mnajenga kiholela na vision ya miezi mitatu tu mbele kama kibanda cha Mama Ntilie.
As a minus is just the addition of a negative number, so goes the increase of a value of something by removing what is no longer needed.Hizo hesabu ni za 'minus'.
Wakenya wapo sahihi sana kwenye hili. Station ya Soga ilitakiwa iwe kubwa na ya kisasa zaidi kwani ina represent mkoa mzima wa Pwani, mkoa ambao ni unofficial Industrial region ya Tanzania.
Viwanda vingi sana vinajengwa mkoa wa Pwani na vingi zaidi vitajengwa si mbali sana na Soga, hicho ki station kama boksi karne hii hakifai kabisa. Designers wetu ni bogus kabisa.
Station ya Soga in a very near future itakuwa busy kuliko ya Dar kwa sababu Dar hakuna expansion ya jiji, expansion yoyote itaelekea magharibi ya Dar. Miaka 20 ijayo Soga station itakuwa katikati ya metropolis.
Watanzania tupo kama kipofu aliyeona
😀😀😀😀
Hizo hesabu ni za 'minus'. Ndio maana huwa mnajenga mabarabara kisha mnazibomoa na kujenga upya baada ya muda mfupi. Hapo ndio gharama huwa zinazidi kuongezeka sio kupungua. Miundo mbinu kama hii ni ya kujengwa mara moja kutoka zero hadi ikamilike bila ya kurejea rejea upya. Sio mnajenga kiholela na vision ya miezi mitatu tu mbele kama kibanda cha Mama Ntilie.
SGR inakunyima raha🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇Fake SGR TZ imefika wapi?