Behold! The best railway in Africa!

mulisaaa station ni sawa na zizi la ng'ombe linaninyima amani vile nilifikiri ni world class kumbe ni shithole...bure kabisa.
 
luangalila mkorinto joto la jiwe ichoboy01 Geza Ulole mulisaaa MOTOCHINI MK254 Lewis254 @kaafrican can you please confirm your one and only beloved Dreamliner kupata ajali na kufichwa ili kufanyiwa repairs.

So far there is no evidence bali ni uvumi tu na story za watu wasio itakia mazuri ATCL wanasema imegongwaaa eti ushahidi wa picha waliyo tuma ni picha ya engine ikiwa inafanyiwa marekebisho ss tafsiri y kugongwa ni kama zile ndege zenu zilivyo gongana pale JKIA tungepata picha kama zile then tunge conclude therefore there is no evidence ndugu yangu na uzuri ndege ipo on schedule flight kama kawaida ata ukii track unaiona
 
Dreamliner ATCL kafichwa watu wasihoji ilikuwa 2nd hand.
 
Eti dreamliner ni mpya na baada ya kuruka angani mara 3 tena short haul inaharibika?
 
hahahaha dre
Dreamliner ATCL kafichwa watu wasihoji ilikuwa 2nd hand.

Dreaamliner inaruka mara mbili kwa siku local route from dar to mwanza then retun from mwanza to dar hata jana ilikuwa inaruka kama kawaida inadunda tu angani the wing of kilimanjaro is shinning bro ! ivi zile ndege zenu mlisha zirekebisha ? ah sorry kumbe mnandege 3 tu, nafikiri ile embraers ndio ilikuwa yenu alafu na ile nyingine iliyokuwa inanyanyuliwa na winch hapa dar nasikia ishanyanyuliwa tayari
 
Tukubali kuwa wapinzani wetu wako sahihi. Designers wa hii station walichemka. Kwa ufupi hii station haina hadhi ya reli inayojengwa karne hii ya 21.
 
Tukubali kuwa wapinzani wetu wako sahihi. Designers wa hii station walichemka. Kwa ufupi hii station haina hadhi ya reli inayojengwa karne hii ya 21.
train stations si kitu muhimu! Muhimu ni kuwa na superior rail inayoweza ku-convey goods at fast speed (120 km/h cargo n 160 km/h pax n room for improvement instead of 80 km/h cargo n 110 km/h pax) and affordable cost (electrical instead of diesel that's vulnerable to global oil prices)!
 
Tukubali kuwa wapinzani wetu wako sahihi. Designers wa hii station walichemka. Kwa ufupi hii station haina hadhi ya reli inayojengwa karne hii ya 21.
Dizine za vituo vidogo zinafanana except station kubwa angalia miradi mingine kwenye nchi zilizoendelea utakuja kuleta mrejesho
 
Tukubali kuwa wapinzani wetu wako sahihi. Designers wa hii station walichemka. Kwa ufupi hii station haina hadhi ya reli inayojengwa karne hii ya 21.

Train ni tofauti na brt mzee,si kila satation inakuwa super,zingine zinajengwa kulingana na uhitaji wa eneo husika.
 
Tukubali kuwa wapinzani wetu wako sahihi. Designers wa hii station walichemka. Kwa ufupi hii station haina hadhi ya reli inayojengwa karne hii ya 21.
Fuatilia designs zinazo trend sasa hivi. Hiko kituo ni contempo design, hii ndiyo imeshika chati sasa hivi. Labda ungeongelea ukubwa na hamna mahitaji ya kituo cha Soga kuwa kikubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyinyi hamjui kuwa hiyo sgr itakuwa mwendokasi yani 160kph,ya umeme tena ule wa mgao 1350mw.
 
Nyinyi hamjui kuwa hiyo sgr itakuwa mwendokasi yani 160kph,ya umeme tena ule wa mgao 1350mw.

Sasa nyinyi zile 2500mw mnapeleka wapi,mmeshindwa hata kununua train ya umeme???
 
Dizine za vituo vidogo zinafanana except station kubwa angalia miradi mingine kwenye nchi zilizoendelea utakuja kuleta mrejesho
Tumpatie hii ya Ethiopia....Hii ni station iliyojengwa na Yarp Merkez Ethiopia...Station ndogo...Yakwetu will be more attractive cause it will be covered by glass...Station sio sehemu ya kulala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…