SI KWELI Bei elekezi ya ARV ni Tsh. 76,000 baada ya USAID kusitisha misaada

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Ishu sio hiyo taarifa ni uongo!!! inshu ni kwamba USAID wamesitisha kutoa hiyo huduma bure kama watanzania wanaotumia hizo dawa watalazimika kununua bei yake kiasi gani ? jamii check fuatililieni na hili !
 
Donald Trump anawafundisha kwa vitendo kwamba mchepuko sio dili,baki njia kuu.

Enyi kizazi cha zinaa,acheni kuwa na mitandao ya ngono.
Trump mwenyewe mchepukaji namba moja,au kesi yake hukuisiki?.
Hapo alipo yuko kwenye ndoa ya ngapi?.
Ni bahati hakupata kuambukizwa.
 
Kama ikitokea dawa zikawa bei ghali kiasi hicho tutazika sana maaana asilimia kubwa wenye vvu na ukimwa ni hohehahe daaahh mungu tusaidie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…