Bei mpya za Mafuta mwezi Mei zatangazwa, Petroli yazidi kupanda hadi 4115, Diseli 4248

Haya maneno ni kama unajiambia wewe na nafsi yako ili kujifariji mkuu. Kwani ni nani aliyesema kuwa dunia itafika mwisho; kwamba maisha hayataendelea??
 
Jamaa hawawazi kuweka ruzuku ili mafuta yabaki kwenye bei fulani kwa muda maana wakifika 6000 kurudi chini ni ngumu bei itakua elekezi ni hiyo hiyo hata Iran mafuta yakiuzwa Tsh 1300 kwa lita hapo baada ya vita kuisha..
Ikiwa hivi itabidi mishahara ipande. Huwezi mwambia mtu aje kazini unamlipa 300,000 kwa mwezi halafu nusu ya mshahara ni gharama za usafiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…