Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Desktop yoyote stationary inafaa hata kama specs ndogo. Kusave hela tafuta hata i3 ama i5 gen za zamani kama ya 4 hivi, Hizi unapata chini ya laki na nusu, ama pentium mpya kama gen ya 8 bei humo humo.Mkuu vipi kwa matumizi ya biashara ya stationery ni desktop ipi itanifaa zaidi na bei yake?
Then unai upgrade kulingana na mahitaji yako.
Vitu muhimu ni kama
-ssd ili kufanya machine iwe responsive na. Kazi zako ziende kwa haraka
-ram uongeze minimum 8GB ila kama budget inatosha 16GB nzuri.
-network card ili upate wifi na Bluetooth, itasaidia kuhamisha mafile bila waya hasa wateja ambao doc zao zipo kwenye simu na. Hawana cable/flash.
So roughly around laki 2 mpaka 2 na nusu unakamilisha hivyo.
Kama stationary yako unafanya na editing utahitaji machine kubwa zaidi minimum gen ya 7 intel ama machine ya juu ya gen ya zamani uinunulie gpu, kuna gpu za Quadro nzuri kwa Editing unapata laki kushuka.