Bei na tofauti ya laptop na desktop

Bei na tofauti ya laptop na desktop

Kwahiyo hizi machine kazi nzito za CAD design zitafanya bila shida?

Maana sitaki machine ya movie ni ya kazi kaka.

Anyway,asante kwa sapoti yako!
Processor mkuu zote ni nzuri, issue ya i3/Ryzen 3 over ryzen 5/i5 ni Gpu, unakuta Gpu zake zipo weak kidogo.

Hizo ni requirements ukiangalia mambo yote sawa hapo kwenye graphics kuna
-Minimum 29gbps Recomended 106GBps bandwidth.

Hizo laptop zitatumia ram ya laptop kwenye graphics ukiweka ram mbili za 8GB ili upate 16GB kwa speed ya 3200mhz DDR4 dual chanell theoretical speed ni 51GBps assume unaipata yote ila most of time itakua around 40-50GBps so minimum ya 29GBps umefika ila Recomended huja fika.

Software itarun bila shida ila kwa vitu heavy uongo hazijafika ile Recomended system. Ili ufikie hio bandwidth utahitaji dedicated GPU ya kisasa most of time gaming laptop. At minimum gtx 1650, hivyo hapa itabidi budget iongezeke.

Pia mkuu nakusisitizia tena, Ram, utahitaji 16GB kuna Laptop ram zake zimechomelewa ndani huwezi ku upgrade, akifika hizo laptop za 8GB ahakiki unaweza kui upgrade, ikiwezekana azifanyie upgrade kabisa ziwe 16GB kuwe na ram mbili za DDR4 frequency 3200mhz.
 
Asante sana.

But kama kuna pc nzuri zaidi ya hizi,naomba nisaidie specification zake atafute.
 
Asante sana.

But kama kuna pc nzuri zaidi ya hizi,naomba nisaidie specification zake atafute.
Budget itakua juu zaidi, atafute tu Gaming laptop, Software za CAD zinapenda core zenye nguvu na graphics kubwa hivyo most of time unashauriwa kununua gaming laptop.

Kwa gtx 1650 mpya zinaanzia 1.6M

Mtumba kama 1.1M
 
Hii ya pili nachukua dar j3 itakuwa imefika.
 
Budget itakua juu zaidi, atafute tu Gaming laptop, Software za CAD zinapenda core zenye nguvu na graphics kubwa hivyo most of time unashauriwa kununua gaming laptop.

Kwa gtx 1650 mpya zinaanzia 1.6M

Mtumba kama 1.1M
Mkuuu habari?

Nimeona nibadili uhitaji,naomba nikutumie details ya pc ninayochukua kwa sasa;

Lenovo IdeaPad Gaming 3 15ACH6 15.6" FHD 144Hz laptop, AMD Ryzen™ 5 5500H, 16GB, 512GB SSD, Nvidia® GeForce RTX™ 2050 4GB GDDR6, NoOS, International English keyboard, Black

HII UNAIONAJE PERFOMANCE YAKE?
ikiwa sawa ilipiwe kesho mkuu!

Zingine zile niliacha kwanza
 
Hii mkuu ni nzuri kushinda laptop zote tulizodiscuss kabla, Rtx 2050 ni Gpu nzuri kushinda gtx 1650 na Ryzen 5500H ni nzuri kushinda ryzen za kawaida zinazoishiwa na U ama intel za kawaida, kama unaweza kui afford go with it.
 
Chief-Mkwawa
MKUU NATAKA KUCHUKUA HII MACHINE YA LENOVO AU DELL, NAULIZA JE IPI INAFAA KWA KAZI NZITO NZITO ZA SOLID WORKS, CIRCUITS SIMULATIONS NA ZINGINE KAMA HIZO.

YAANI NAAMISHA PC KWA AJILI YA KAZI NZITO NA KUBWA.

NAOMBA USHAURI.
SPECIFICATIONS;
  • CPU: Intel Core i7-4600m 2.90 GHz
  • RAM: 8 Gb DDR3
  • SSD: 512 GB
  • VGA: Intel HD 4600
  • Nvidia GT 730 1GB DDR3
  • display: 14" HD+ 1600 x 900
  • camera
  • 2 X USB 3.0, mini display port, VGA
  • Gigabit Ethernet LAN
  • WLAN 802.11a/b/g/n/ac, Bluetooth 4.0
  • Headphone/Microphone combo jack
  • Fingerprint reader
  • Keyboard lighting
  • English keyboard layout
  • Battery operating time: 3 - 4 hours

NYINGINE NI DELL SPECICATION HIZI;

  • CPU: Intel Core i7-4810QM 2.80 Ghz
  • RAM: 16 GB DDR3
  • SSD: 256 GB
  • VGA: Nvidia Quadro K2100M 2GB DDR5
  • display: 15.6" QHD+ (3200 x 1800)
  • DVD-RW
  • VGA port
  • 4 x USB 2.0, 1 x e-SATA
  • HDMI
  • WLAN 802.11 b/g/n, bluetooth 4.0
  • Gigabit Ethernet LAN
  • SD card reader
  • headphone and microphone connector
  • EU keyboard layout
  • battery operating time: 2 - 3 hours

Technical Specifications:

Model: IdeaPad 3 14 81WA Platinum Grey
Processor: Intel Core i5-10210U (2.9GHz)
Graphics: Intel
Memory: 8GB
Storage: 128GB SSD
Display: 14" FHD
Touchscreen: YES
Optical: None
Media Reader: 4-in-1 Card Reader
Ethernet: None
WLAN + Bluetooth: 11ac, 2x2 + BT5.0
Camera: 0.3MP
Microphone: 2x, Array
Keyboard: Non-backlit, English
Battery: 5 HRS
Power Adapter: 65W Round Tip
Operating System: Windows 11

Mkuu naitoa kwa 850K nilikuwa natumia kwa hizo kazi so software zote zipo
 
nimeshapata mkuu.
asante.
 
Unataka ufanye kazi gani
mkuu nashindwa kuweka namba ya simu kwenye 2FA wananambia try again au unsupported number, nimejaribu kila namba ya simu lakini inagoma naomba unielekeze nifanyaje
 
mkuu nashindwa kuweka namba ya simu kwenye 2FA wananambia try again au unsupported number, nimejaribu kila namba ya simu lakini inagoma naomba unielekeze nifanyaje
Umeanza na +255? Hio service inakubali region yetu ya Tanzania?
 
Kwa Desktop

200,000-300,000
Tafuta machine za Ryzen Amd kama Ryzen 2400G hizi as cheap as 230,000 then nunua Aliexpress ram mbili za 8GB around 2900mhz utacheza games hizi za kibongo bongo hadi 1080p low setting.

300,000+
Tafuta intel generation ya 8 kama i5 8400, 8500 ama i7 8700 hizi, nyingi hizi unazipata around laki 4 hivi, halafu baadae mdogo mdogo uta upgrade gpu.

Tofauti na hapo ni uandae zaidi ya milioni kupata cpu za kisasa za Amd/intel kuanzia Zen 3 ama gen ya 12.

Kwa Laptop

Uhakika kabisa kupata laptop nzuri ni intel Gen ya 10 kupanda ama Ryzen 5 4xxx series kupanda, hizi kibongo bongo nyingi zinaanzia laki 8 hivi, japo unaweza zipata chini ya hapo pia.

Kama unatafuta nje ebay unaweza pata bei chini kidogo.

Alternative ni kutafuta laptop za zamani zenye dedicated gpu, mfano intel gen ya 8 zenye Nvidia gpu.
Umeongea kitaalam sana.
 
Mkuu kifaa gani kinaweza kunsaidia kuconnect wired microphone kwenye laptop straight?
Hio wired inatumia port gani? Kama ni 3.5MM jack ama USB Unachomeka tu direct huhitaji kifaa extra, otherwise tumia sound card za usb kutegemea na port husika.
 
Hio wired inatumia port gani? Kama ni 3.5MM jack ama USB Unachomeka tu direct huhitaji kifaa extra, otherwise tumia sound card za usb kutegemea na port hhusi
Hio wired inatumia port gani? Kama ni 3.5MM jack ama USB Unachomeka tu direct huhitaji kifaa extra, otherwise tumia sound card za usb kutegemea na port husika.

Hio wired inatumia port gani? Kama ni 3.5MM jack ama USB Unachomeka tu direct huhitaji kifaa extra, otherwise tumia sound card za usb kutegemea na port husika.
Ipo hivi mkuu
 
Attachments

  • Screenshot_20241022-151505.png
    Screenshot_20241022-151505.png
    95.5 KB · Views: 5
Ipo hivi mkuu
Xls na Ts, kuna Usb sound interface Unachomeka kwenye usb ya laptop inakupa hizo port. Sema bei zake ni ndefu mkuu, laki na upuuzi.

Ushauri wangu mkuu tafuta mic za Usb bei rahisi na ni plug and play hazihitaji mambo ya ku configure.
 
Back
Top Bottom