Bei na tofauti ya laptop na desktop

Bei na tofauti ya laptop na desktop

Hapo kuna mambo mawili.

1. Uchukue hio HP ufanye upgrade kwenda i7 4790 ni cpu nzuri kiasi chake, advantage yake in avx 2.0 itarun app nyingi za kisasa, pia ulaji umeme ni wa kawaida disadvantage yake max ni core 4.

2. Hio Xeon unaweza uka upgrade mpaka core 8 thread 16 cpu kama 1650-1680 v2 ubaya wake inakula umeme kama pasi na hazina Avx.

Binafsi mimi kama unalipa luku mwenyewe na umeme kwako unabana matumizi chukua hio HP yenye i5, kama umeme kwako sio issue chukua hio Xeon.

Chief-Mkwawa
MKUU NATAKA KUCHUKUA HII MACHINE YA LENOVO AU DELL, NAULIZA JE IPI INAFAA KWA KAZI NZITO NZITO ZA SOLID WORKS, CIRCUITS SIMULATIONS NA ZINGINE KAMA HIZO.

YAANI NAAMISHA PC KWA AJILI YA KAZI NZITO NA KUBWA.

NAOMBA USHAURI.
SPECIFICATIONS;
  • CPU: Intel Core i7-4600m 2.90 GHz
  • RAM: 8 Gb DDR3
  • SSD: 512 GB
  • VGA: Intel HD 4600
  • Nvidia GT 730 1GB DDR3
  • display: 14" HD+ 1600 x 900
  • camera
  • 2 X USB 3.0, mini display port, VGA
  • Gigabit Ethernet LAN
  • WLAN 802.11a/b/g/n/ac, Bluetooth 4.0
  • Headphone/Microphone combo jack
  • Fingerprint reader
  • Keyboard lighting
  • English keyboard layout
  • Battery operating time: 3 - 4 hours

NYINGINE NI DELL SPECICATION HIZI;

  • CPU: Intel Core i7-4810QM 2.80 Ghz
  • RAM: 16 GB DDR3
  • SSD: 256 GB
  • VGA: Nvidia Quadro K2100M 2GB DDR5
  • display: 15.6" QHD+ (3200 x 1800)
  • DVD-RW
  • VGA port
  • 4 x USB 2.0, 1 x e-SATA
  • HDMI
  • WLAN 802.11 b/g/n, bluetooth 4.0
  • Gigabit Ethernet LAN
  • SD card reader
  • headphone and microphone connector
  • EU keyboard layout
  • battery operating time: 2 - 3 hours
 
Zote mbili hazina issue, hio dell ina afadhali ila still bado ni ya kizamani haitamudu kazi nyingi nzito za kisasa. Budget ni kama kiasi gani?
 
Ni laki 4 tu huku nje!

Japo bajeti yanngu nimeandaa 700k.

Kama vipi,naomba mapendekezo yako,za computer nzuri ya kisasa,nisaidie tu specification nizunguke kutafuta.

Halafu hii dell ya kizamani kivipi?

Unajua hapo nimeangalia processor,na RAM sana.
 
Mkuu chief je kwa ajili ya library ya kutunza movies na kurusha miziki kwenye flash ..lap top gani inafaa au extrenal yenye ukubwa gni
 
Budget kiasi gani? Library wala sio demanding sana specs hata ndogo zinafaaa, utafute tu yenye intel na Quicksync kwa ajili ya kuconvert video, pia ikiwa workstation ni vizuri zaidi, sababu laptop haina ports za kutosha ukipata yenye Dock nzuri itakusaidia.

Kuhusu size angalia mwenyewe ukubwa wa library, hdd nyingi za bei rahisi ni 4TB kushuka.

Pia kama huna ulazima wa Laptop tafuta tu workstation ya Desktop.
 
Mkuu naomba msaada pale juu🙏
 
Ni laki 4 tu huku nje!

Japo bajeti yanngu nimeandaa 700k.

Kama vipi,naomba mapendekezo yako,za computer nzuri ya kisasa,nisaidie tu specification nizunguke kutafuta.

Halafu hii dell ya kizamani kivipi?

Unajua hapo nimeangalia processor,na RAM sana.
Hio dell ni generation ya 4 (processor ya miaka 11 iliopita) hata hio gpu yake K2100M ni ya zamani na unaona ram ni kubwa ila ni ddr3 tu, mfano chukua i3 yoyote ya kisasa kama i3 1215U ambayo ikiwa mpya unaipata kwa hio budget yako

Benchmark ya passmark cpu
i3 1215U
Screenshot_20241010-111731_Pixel Launcher.png

i7 4810QM
Screenshot_20241010-111912_Pixel Launcher.png

Na Gpu

K2100M
Screenshot_20241010-112032_Pixel Launcher.png

Gpu ya ndani intel UHD inayokuja na hio i3
Screenshot_20241010-112415_Pixel Launcher.png

Kwa Around hio budget yako go with Ryzen 5xxx series hasa vile unanunulia nje, processor kama Ryzen 5 5500U. Unanunua soko gani?
 
Hio dell ni generation ya 4 (processor ya miaka 11 iliopita) hata hio gpu yake K2100M ni ya zamani na unaona ram ni kubwa ila ni ddr3 tu, mfano chukua i3 yoyote ya kisasa kama i3 1215U ambayo ikiwa mpya unaipata kwa hio budget yako

Benchmark ya passmark cpu
i3 1215U
View attachment 3120615
i7 4810QM
View attachment 3120616
Na Gpu

K2100M
View attachment 3120623
Gpu ya ndani intel UHD inayokuja na hio i3
View attachment 3120625

Kwa Around hio budget yako go with Ryzen 5xxx series hasa vile unanunulia nje, processor kama Ryzen 5 5500U . Unanunua soko gani?
Kuna mtu yuko ujerumani nataka aniletee bongo.

Anaenda dukani physically.

Sasa hajui lolote kuhusu pc!

Je,unaweza kunisaidia labda specification kadhaa na brand ya computer then nimpe details atafute?

Ana siku ya leo tu.

Asante mkuu kwa kujali
 
Dukani mtumba sio? Ama brand new?

Focus na hio Ryzen niliokutajia kuna Ryzen za zamani kama 2500U ama 3500U hazina issue, atafute ryzen mpya 5500U, 7530U, 4700U, 4800U etc

Kama kakosa kabisa gen ya 12 intel kama hio niliokutajia i3 1215U ama i5 1235U.

Ram minimum GB 16 ila isikusumbue sana kama laptop unaweza upgrade ram hata ya 8GB sawa utakuja kuongeza mwenyewe baadae.

Kama anashindwa kupata machimbo yake acheki online mfano hii Euro 200

Dukani mtumba kaka.

Asante sana
 
Budget kiasi gani? Library wala sio demanding sana specs hata ndogo zinafaaa, utafute tu yenye intel na Quicksync kwa ajili ya kuconvert video, pia ikiwa workstation ni vizuri zaidi, sababu laptop haina ports za kutosha ukipata yenye Dock nzuri itakusaidia.

Kuhusu size angalia mwenyewe ukubwa wa library, hdd nyingi za bei rahisi ni 4TB kushuka.

Pia kama huna ulazima wa Laptop tafuta tu workstation ya Desktop.
4TB haitoshi mkuu,...dogo ana 12TB na bado haitoshi,....labda kwasababu ya inategemea na madhingira,...
 
Naongelea bei, value ya hela yako, 12TB unanunua kiasi gani? Ikipotea ama kuharibika backup yake unakua nayo?

Advantage ya kuwa na workstation ni hio kutumia multiple HDD badala ya 12TB moja unaweza kuwa na 4TB hata 6 ambazo unazifanyia Raid inakua kama 12TB moja na data zinaji duplicate ili kuwa na Backup.
 
Mkuu unaweza kunisaidia shops za pc zilizoko hungary website zake kama unazijua?

Hasa mji mkuu budapest,hao jamaa ulionipa wengi ni wa ujerumani,huyu mtu anayekuja na pc yuko budapest.
 
Kwa mtumba
Za 4500U naziona around 500,000 ya kitanzania

Ya 5500U naiona kama laki 8 kama ata bargain inaweza fika budget yako

Kwa mpya i3 1215U around laki 7

Hii hp around laki 8
 
Gen ya 6 hii haina issue mkuu, minimum umekosa kabisa intel gen ya 8 ama Ryzen 2000 series.
Chief naomba budget ya SSD kuanzia GB 500 mpaka TB 10.

Brand hipi bora na hipi cheap!!

Case za Ssd shilingi na nazipataje. Maana nna laptop ina 128GB nataka niitoe niweke kubwa kisha hiyo 128Gb niifanye external hard drive
 
SSD most of time ni 100,000-150,000 kwa 1TB
Laptop yako ni sata ama M2?

Kama ni sata unatumia tu zile zile caseza hdd, kama ni M2 bora nunua Aliexpress 10,000-20,000 unapata.

Sema hakikisha case yoyote ile iwe na usb 3.0 kwa usb 2.0 utapata speed ya ssd.
 
Asante mkuu
 
Kwa mtumba
Za 4500U naziona around 500,000 ya kitanzania

Ya 5500U naiona kama laki 8 kama ata bargain inaweza fika budget yako

Kwa mpya i3 1215U around laki 7

Hii hp around laki 8
Asante
Ngoja nimtumie achek,pia nahitaji processor speed kubwa kidogo.
Hata kama 1m bajeti ipo tu.
 
Dukani mtumba sio? Ama brand new?

Focus na hio Ryzen niliokutajia kuna Ryzen za zamani kama 2500U ama 3500U hazina issue, atafute ryzen mpya 5500U, 7530U, 4700U, 4800U etc

Kama kakosa kabisa gen ya 12 intel kama hio niliokutajia i3 1215U ama i5 1235U.

Ram minimum GB 16 ila isikusumbue sana kama laptop unaweza upgrade ram hata ya 8GB sawa utakuja kuongeza mwenyewe baadae.

Kama anashindwa kupata machimbo yake acheki online mfano hii Euro 200

mkuu anachukua kati ya hizu :
1. AMD Ryzen 3 5425U (2700)/8192 (DDR4)/512 GB NVMe SSD/15.6" IPS FHD LED matte/no.

AU
2. Core i3 1215U (up to 4400)/8192 (DDR4)/512 GB NVMe SSD/15.6" FHD LED matte/none

Ipi iko sawa na nzuri kwa kazi za softwares?
 
Zote mbili zinafanana mkuu yoyote sawa hapo
 
Back
Top Bottom