Kwa Desktop
200,000-300,000
Tafuta machine za Ryzen Amd kama Ryzen 2400G hizi as cheap as 230,000 then nunua Aliexpress ram mbili za 8GB around 2900mhz utacheza games hizi za kibongo bongo hadi 1080p low setting.
300,000+
Tafuta intel generation ya 8 kama i5 8400, 8500 ama i7 8700 hizi, nyingi hizi unazipata around laki 4 hivi, halafu baadae mdogo mdogo uta upgrade gpu.
Tofauti na hapo ni uandae zaidi ya milioni kupata cpu za kisasa za Amd/intel kuanzia Zen 3 ama gen ya 12.
Kwa Laptop
Uhakika kabisa kupata laptop nzuri ni intel Gen ya 10 kupanda ama Ryzen 5 4xxx series kupanda, hizi kibongo bongo nyingi zinaanzia laki 8 hivi, japo unaweza zipata chini ya hapo pia.
Kama unatafuta nje ebay unaweza pata bei chini kidogo.
Alternative ni kutafuta laptop za zamani zenye dedicated gpu, mfano intel gen ya 8 zenye Nvidia gpu.