Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu laptop nzuri kupigia issue za designning( program za arch cad, arc gis, autocad na za mfanao na huo) ipi itanifaa?Unataka ufanye kazi gani
cad programs unatumia gaming laptop, per core perfomance kubwa kadri iwezekanavyo na dedicated gpu, budget yako ni kiasi gani?Mkuu laptop nzuri kupigia issue za designning( program za arch cad, arc gis, autocad na za mfanao na huo) ipi itanifaa?
Kama umekosa laptop ya 5500U sio mbaya, ila ushauri wangu tafuta Machine ya 5500U (series yoyote ya 5000) ama kwa jina jengine 7530U. Online zipo around 1M ila kama unajua kuongea vizuri possible kwa hio budgetKwahiyo niichukue mkuu
700000-800000cad programs unatumia gaming laptop, per core perfomance kubwa kadri iwezekanavyo na dedicated gpu, budget yako ni kiasi gani?
Minimum tafuta intel gen ya 11 kupanda ama Amd Ryzen 4000 series kupanda.700000-800000
Mkuu vp kuhusu hii HPMinimum tafuta intel gen ya 11 kupanda ama Amd Ryzen 4000 series kupanda.
Zote hizo gpu zake za ndani ni nzuri, ila ikiwa na dedicated gpu hata zile ndogo za Mx series itakusaidia.
Mfano kama hii
Pia jambo jengine muhimu ram hakikisha ina uwezo wa 16GB kupanda. Hata kama ram muuzaji anauza laptop ina 8GB muifungue uhakika ina slot ya kuongeza 8GB nyengine, siku hizi kuna laptop ram zinachomelewa na huwezi kuongeza ram.
Mkuu vp kuhusu HP 820 G3 kwa matumizi ya kawaida?Minimum tafuta intel gen ya 11 kupanda ama Amd Ryzen 4000 series kupanda.
Zote hizo gpu zake za ndani ni nzuri, ila ikiwa na dedicated gpu hata zile ndogo za Mx series itakusaidia.
Mfano kama hii
Pia jambo jengine muhimu ram hakikisha ina uwezo wa 16GB kupanda. Hata kama ram muuzaji anauza laptop ina 8GB muifungue uhakika ina slot ya kuongeza 8GB nyengine, siku hizi kuna laptop ram zinachomelewa na huwezi kuongeza ram.
Gen ya 6 hii haina issue mkuu, minimum umekosa kabisa intel gen ya 8 ama Ryzen 2000 series.Mkuu vp kuhusu hii HP
Mkuu vp kuhusu HP 820 G3 kwa matumizi ya kawaida?
Budget gani mkuu? Ryzen 2000 series naziona hadi laki 2-3Budget imebana mkuu
Unaweza ukajua processor zilizopo ndani?Chief mkawa mkuu naomba ushauri wako,
Kuna Desktop Computer mbili ;
HP ProDesk 600 G1 Intel Core I5 na HP workstation Z420 ipi nichukue.
NB sio za kulipa hela nimepewa, lakini sharti nichukue moja.
Prodesk ; inter(R) core ( TM) i5-4590 CPU @ 3.30GHz 3.30 GHz na work station ni Intel(R) Xeon(R) CPU E5-16500 @ 3.20GHzUnaweza ukajua processor zilizopo ndani?
Hapo kuna mambo mawili.Prodesk ; inter(R) core ( TM) i5-4590 CPU @ 3.30GHz 3.30 GHz na work station ni xeon
Mkuu laptop zinakua na multiple configuration, unajua specs zake ama full model?Mkuu, unaweza kuzungumzia dell xps, hasa xps 9320
Asante sana Kwa ushauri nachukua ya KwanzaHapo kuna mambo mawili.
1. Uchukue hio HP ufanye upgrade kwenda i7 4790 ni cpu nzuri kiasi chake, advantage yake in avx 2.0 itarun app nyingi za kisasa, pia ulaji umeme ni wa kawaida disadvantage yake max ni core 4.
2. Hio Xeon unaweza uka upgrade mpaka core 8 thread 16 cpu kama 1650-1680 v2 ubaya wake inakula umeme kama pasi na hazina Avx.
Binafsi mimi kama unalipa luku mwenyewe na umeme kwako unabana matumizi chukua hio HP yenye i5, kama umeme kwako sio issue chukua hio Xeon.