Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Budget hio processor uatakayopata ni za gen ya 8, sio lazima iwe i7 hata i5 inafaa utofauti wake mdogo mno kwa hio budget. Pia i3 gen ya 12 unapata (ina nguvu kuliko i7 zote za gen ya 11 kushuka)500k-700k
Ya kuagiza itapendeza zaidi
Au chimbo lako unalolikubali hapa bongo
Sababu unataka hdd na ssd inabidi iwe na M2 slot ili kwenye M2 uweke ssd na sata uweke hdd.
Kuhusu upana standard ni inch 15.6 ukitoka hapo ni inch 17 ambazo zipo sema chache sana.
Kwa around laki 6 laptop za gen ya 8 unapata Discountkubwa wanaangalizana na kituo Cha polisi msimbazi.
Kwa gen ya 12 hio i3 nimeiona Icare wapo Uhuru pale kwa laki 7, sema ni inch 14.
Kwa kuagizishia nje una mtu unamjua ama usafiri upo ndani ya hio laki 7?
Pia sio lazima iwe i7 Ryzen zozote kuanzia 5xxx series zitakua na nguvu sawa ama zaidi ya i7 gen ya 11 kushuka.