Montserrat
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 10,938
- 14,745
yes,kama bombadierKumbe hizi nazo ni kama Bombadier[emoji120][emoji1][emoji1]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yes,kama bombadierKumbe hizi nazo ni kama Bombadier[emoji120][emoji1][emoji1]
TCAA
kibali ni kama unarusha sehemu isiyo ya mazi na kwenye nyaraka za serikali mfano: jashini, mbuga za wanyama, police, ikulu n.k lakini kwa open place, makanishani na kumbi za masherehe uhitaji kibali chochote
Nani aliyekwambia huhitaji kibali??
Kuna mdogo wangu ni MC & Photographer kwenye maharusi na vijana wake walikamatwa wanaitumia bila kibali kamasi liliwatoka faini zake hizo
Bora tu ukate kibali aisee kabla haijataifishwa na wewe kutiwa msukosuko
walikuwa wanatumia wapi?? maana nimeelewesha hapo na mimi hata saiv unavyoongea na shoot na Drone na sina kibali wala sijawah kuulizwa......nipo viwanja vya zakiem noe kama upo karibu njoo
TCAAKibali kinapatikana mamlaka ipi?
kwa sikuiz hata mpiga ngoma anahitaji kibali kwenye kumbi za stareheNani aliyekwambia huhitaji kibali??
Kuna mdogo wangu ni MC & Photographer kwenye maharusi na vijana wake walikamatwa wanaitumia bila kibali kamasi liliwatoka faini zake hizo
Bora tu ukate kibali aisee kabla haijataifishwa na wewe kutiwa msukosuko
kwa sikuiz hata mpiga ngoma anahitaji kibali kwenye kumbi za starehe
Ni kweli, UTARATIBU Ni marefu Sana.Na ghrama zipo juu.kwa hifadhini kurusha drone unaitaji kibali na kinagharimu Kama laki hiviSi nilisikia kurusha drones hairuhuiwi na mamlaka ya anga Tanzania...kuna mchakato mrefu wa kuomba ruhusa (kibali) hata kwa drones za kuchezea na wanafamilia (watoto). Hili jambo likoje sasa?
Kama hujapata Nicheki PM nkutumie zilizopoWakuu natafuta camera nzuri (drone) ya kununua kwa ajili ya project moja hapa Bukoba.
Ninahitaji brand nzuri inayo toa video nzuri. Kwa hiyo kabla ya kuamua naomba wanao jua bei na brand za hizi kamera anipe ushauri..
Asanteni sana.View attachment 1525838
Makanisani bro ni hakuna Kibaokibali ni kama unarusha sehemu isiyo ya wazi na kwenye nyaraka za serikali mfano: jashini, mbuga za wanyama, police, ikulu n.k lakini kwa open place, makanishani na kumbi za masherehe uhitaji kibali chochote