Bei ya Drone Camera kwa brand

Bei ya Drone Camera kwa brand

kibali ni kama unarusha sehemu isiyo ya mazi na kwenye nyaraka za serikali mfano: jashini, mbuga za wanyama, police, ikulu n.k lakini kwa open place, makanishani na kumbi za masherehe uhitaji kibali chochote

Nani aliyekwambia huhitaji kibali??

Kuna mdogo wangu ni MC & Photographer kwenye maharusi na vijana wake walikamatwa wanaitumia bila kibali kamasi liliwatoka faini zake hizo

Bora tu ukate kibali aisee kabla haijataifishwa na wewe kutiwa msukosuko
 
walikuwa wanatumia wapi?? maana nimeelewesha hapo na mimi hata saiv unavyoongea na shoot na Drone na sina kibali wala sijawah kuulizwa......nipo viwanja vya zakiem noe kama upo karibu njoo
 
Hawajakudaka tu

Walikamatwa kwenye harusi Ukumbi wa Mkapa Mbeya
 
Si nilisikia kurusha drones hairuhuiwi na mamlaka ya anga Tanzania...kuna mchakato mrefu wa kuomba ruhusa (kibali) hata kwa drones za kuchezea na wanafamilia (watoto). Hili jambo likoje sasa?
 
Nani aliyekwambia huhitaji kibali??

Kuna mdogo wangu ni MC & Photographer kwenye maharusi na vijana wake walikamatwa wanaitumia bila kibali kamasi liliwatoka faini zake hizo

Bora tu ukate kibali aisee kabla haijataifishwa na wewe kutiwa msukosuko
kwa sikuiz hata mpiga ngoma anahitaji kibali kwenye kumbi za starehe
 
Si nilisikia kurusha drones hairuhuiwi na mamlaka ya anga Tanzania...kuna mchakato mrefu wa kuomba ruhusa (kibali) hata kwa drones za kuchezea na wanafamilia (watoto). Hili jambo likoje sasa?
Ni kweli, UTARATIBU Ni marefu Sana.Na ghrama zipo juu.kwa hifadhini kurusha drone unaitaji kibali na kinagharimu Kama laki hivi
 
kibali ni kama unarusha sehemu isiyo ya wazi na kwenye nyaraka za serikali mfano: jashini, mbuga za wanyama, police, ikulu n.k lakini kwa open place, makanishani na kumbi za masherehe uhitaji kibali chochote
Makanisani bro ni hakuna Kibao
 
Back
Top Bottom