Kwa kifupi huna unachoelewa kuhusu foilsijakuelewa
Duh mwenyewe hata sielewi naona pombe zinanivurugia mambo Dr hyperkidsijakuelewa
Zingatia huu ushauriKwa kifupi huna unachoelewa kuhusu foil
Tumia smartphone yako kujifunza mambo mbalimbali
Amekusudia kuna vile vikopo vya foil vina white lid na pia foil unazotaka wewe pia zipo.sijakuelewa
huyo jamaa ameshindwa kufafanua . nashkuru nimekelewa mm sikumaanisha vile vikontena . nimemaanisha zile kama paperAmekusudia kuna vile vikopo vya foil vina white lid na pia foil unazotaka wewe pia zipo.
Kwanini usitumie zile white paper zipo kama foil roll naona zipo vizuri zaidi kwa kufungia chipsi.
FuataFata
Ya ngapi leooDuh mwenyewe hata sielewi naona pombe zinanivurugia mambo Dr hyperkid
huo mshahara kesho pakikucha hata na 15k tushukuru MUNGUDuh mwenyewe hata sielewi naona pombe zinanivurugia mambo Dr hyperkid
Reja reja ni 18,000 mkuu. Ishu ni ww uko wap?Naomba kujuzwa zile foil huwa zinauzwa bei gani na ukubwa wake (yan zinakua na urefu wa mita/futi ngapi
Nakula vodka nipo na marafiki tunachoma na nyama tupo porini tuna enjoy bwashee sijui ni ya ngapi mastaYa ngapi leoo
huyo jamaa ameshindwa kufafanua . nashkuru nimekelewa mm sikumaanisha vile vikontena . nimemaanisha zile kama paper
Mstahmili mwamba anapata moja moto moja baridi akili imechukuliwa na ngano🤣Duh mwenyewe hata sielewi naona pombe zinanivurugia mambo Dr hyperkid
Kaka mimi silipwi mshahara😁huo mshahara kesho pakikucha hata na 15k tushukuru MUNGU
Kama kawa bwashee na ndivyo ilivyo 😆Mstahmili mwamba anapata moja moto moja baridi akili imechukuliwa na ngano🤣