Killa Cam
JF-Expert Member
- Jun 12, 2022
- 2,980
- 8,321
Kuna siku nilikuwa na wana kama 20 tupo club kila mwana ana glass yake halafu tunanunua Vodka huku tunachoma bangi. Sijui ilikuwaje najiona nipo kwa DJ nae yule DJ aliniwachia laptop yake niwe DJ🤣. Alikuja demu nikaanza kucheza nae wana mpaka leo wana kumbushia tunabaki kucheka tu.Nakula vodka nipo na marafiki tunachoma na nyama tupo porini tuna enjoy bwashee sijui ni ya ngapi masta