Kuna siku nilikuwa na wana kama 20 tupo club kila mwana ana glass yake halafu tunanunua Vodka huku tunachoma bangi. Sijui ilikuwaje najiona nipo kwa DJ nae yule DJ aliniwachia laptop yake niwe DJ🤣. Alikuja demu nikaanza kucheza nae wana mpaka leo wana kumbushia tunabaki kucheka tu.Nakula vodka nipo na marafiki tunachoma na nyama tupo porini tuna enjoy bwashee sijui ni ya ngapi masta
Safi sana bwashee mimi now pesa yangu najipa raha tu 😊 bangi navuta mara moja kwa miezi miwili , now nakula pombe tuKuna siku nilikuwa na wana kama 20 tupo club kila mwana ana glass yake halafu tunanunua Vodka huku tunachoma bangi. Sijui ilikuwaje najiona nipo kwa DJ nae yule DJ aliniwachia laptop yake niweke DJ🤣. Alikuja demu nikaanza kucheza nae wana mpaka leo wana kumbushia tunabaki kucheka tu.
walevi utawajua tuKuna siku nilikuwa na wana kama 20 tupo club kila mwana ana glass yake halafu tunanunua Vodka huku tunachoma bangi. Sijui ilikuwaje najiona nipo kwa DJ nae yule DJ aliniwachia laptop yake niwe DJ🤣. Alikuja demu nikaanza kucheza nae wana mpaka leo wana kumbushia tunabaki kucheka tu.
Ukishawajua utafanya nini bwashee?walevi utawajua tu
Numbi kama numbi madam🤔Nenda supermarkets utakuta wamebandika bei kuna zile ndogo kwa ujazo zinauzwa kwenye elfu 14 hivi huku kubwa zake kwenye 20 na kitu