Bei ya Godoro la Tanfom Arusha na QFL Dodoma

Yanavutia kwa nje tu, ukilalia miezi 2 utatakuwa mmiliki wa mtumbwi. Gidoro ni qfl na comfy tu. Bei kila mkoa/ wilaya na bei yake
Nina mwaka wa 3 natumia godoro la GSM 5x6 nch 12 lipo katika ubora wake uleule nikionunulia
 
Hii mkuu sikubaliani na wewe, mimi ninalo nchi 10 nilinunua kwenye duka lao mpaka leo lipo fresh na umeshapita mwaka mmoja sasa.
Naunga mkono hoja yako, mim nina la nch 12 huu mwaka wa 3 lipo kama nilivyolinunua, ni magodoro mazuri sana na imara
 
Hapo umefanya la maana Sana mana feki sokoni yamejaa. Nami niliwasiliana nao nikaenda kuchukua pale Mwanza IGOGO kwenye Godown yao. Fika ujionee magodoro ya kila aina toka Tanfoam, pesa yako tu. Pale ndo wasambazaji wa Kanda ya ziwa.
 
Kuna chimbo la magodoro org ya comfy na Qfl lipo Keko, bei ya kiwandani, pia rejareja unapewa
5x6 inch8 unapata Kati ya 170,000 had 190,000/= kutegemea na hali ya soko na either godoro utahitaji covered au uncovered.
Mjini mipango
 
Wakuu mi nimechukua Tanfomu inch 8, 5*6 Kwa 300000 Kwa wakala mkuu Tanfomu Lake zone, hongereni Kwa michango Yenu
Si mbaya sana japo Dar ni 260,000 na Mikoani Kwa Wakala ukilia lia ni 277,000.
 
Wakuu mi nimechukua Tanfomu inch 8, 5*6 Kwa 300000 Kwa wakala mkuu Tanfomu Lake zone, hongereni Kwa michango Yenu

Pole mkuu, umeliwa patamu mno.... sema fresh tu ‘mpaka mjukuu atalitumia’.
 
Pole mkuu, umeliwa patamu mno.... sema fresh tu ‘mpaka mjukuu atalitumia’.
Mkuu hamna kitu napenda kama kitu Bora et , hapa penyewe najipanga kununua mziki wa Sony tz 40, miziki ya kichina China sjui kodtec, sea piano, boss n.k hapana Kwa kweli, kuhusu godoro la Tanfomu nilienda maduka ya mtaani wanauza 250k, nikaenda kwenye duka moja kubwa kdogo jamaa akanambia 300K, nikamwambia mbna wengne wanauza Kwa 250, akasema hyo ni paste , akasema kama nahtaji hzo yeye atanipa Kwa 230K, but Kwa Tanfomu og mwisho ni 300k, ....

Nikaona isiwe tabu , nikawatafuta Tanfomu makao makuu Arusha wakanielekeza Kwa wakala mkuu Kanda ya ziwa, nikawanyokea kwenye depo yao wakadai bei ya kuuza ni 300K, ila wakaniambia msimu wa siku kuu huwa kuna punguzo mpak asilimia 25 ko nikihitaj Zaid nitegee msimu wa sikukuu, mi nikachukua bidhaa nikasepa, kama wamenipiga fresh Ila kwangu nimechukua kitu nilichojiridhisha....
 
Wote ma feki tu hadi sisi wanumuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…