Bei ya Godoro la Tanfom Arusha na QFL Dodoma

Mhh
 
mimi naangaliaga uzito. mfano, ntaenda duka wanalouza 260k na kulinyanyua kuona uzito wake the nitaenda wanapouza 300k nacheki uzito, kama yako sawa nanunua la 260k godoro OG ni zito haliwi jepesi, weka hili kichwani litakusaidia.
Mm naenda kiwandani kabisa ,alaf bei inakuaga cheap kuliko kwa mawakala

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii mkuu sikubaliani na wewe, mimi ninalo nchi 10 nilinunua kwenye duka lao mpaka leo lipo fresh na umeshapita mwaka mmoja sasa.
Mie pia ninalo inch 8 6x6 hata miezi mitano haijaisha lishageuka mtumbwi ๐Ÿค”
 
Kuna magodoro yanaitwa Ocean Kiss, hayo MSINUNUE kabisa ndugu zangu!!!!
 
Nikushauri ndugu nunua godoro original na lenye waranti kabisa
 
Godoro ni tanfomu, sema kujua fake na og ndo miyeyusho, uanaweza uziwa fake kwa bei ya og,
Hakuna godoro fake boss bali unabadilishiwa kava tu kikubwa kagua godoro Tan foam au dodoma zina mihuri ya moto
 
Yanavutia kwa nje tu, ukilalia miezi 2 utatakuwa mmiliki wa mtumbwi. Gidoro ni qfl na comfy tu. Bei kila mkoa/ wilaya na bei yake
Hapana boss itakuwa ulichukua density ndogo GSM za sasa mpaka waranti ipo
Wapo vizuri boss
 
He kwanini ulalie godoro ili mradi? Sidhani kama unayatambua madhara ya kulalia godoro ambalo lina matatizo. Kulalia nyasi ni sawa kama huna uwezo wa kununua godoro
๐Œ๐š๐๐ก๐š๐ซ๐š ๐ง๐ข ๐ฒ๐š๐ฉ๐ข ๐ง๐๐ฎ๐ ๐ฎ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ