Phrasal Verbs
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 245
- 263
uzuri katika uzi huu hata wale watz wasiofurahishwa na utawala wa magufuli wamekupuuza.
umebaki peke yako ukitetea hoja zako za kijinga kama poyoyo.
Ushamba unawasumbua wala sikushangai. Omba uraia wa UK mkuuMajibu yenu kwenye huu uzi ni dhihirisho tosha jinsi kingereza kinawatesa, na kitawatesa sana hadi kwa mkulu. Hayo matangazo Dar ya 'jifunze kingereza kwa miezi mitatu' hayatawafaidi kitu maana nyie wenyewe ni wazembe tu.
Huyo kilaza Sana, alafu ina maana familia na walinzi hawawezi kumudu kununua bando ndio maana anawapa Wi-Fi yake [emoji23][emoji23][emoji23]
Sio lazima uwe raia wa UK ndio uzungumze au kuelewa Kingereza, kwanza siku hizi wengi tunakizungumza hata kuwazidi hao, ndio lugha ya dunia. Mimi hapa kwenye miradi yangu nafanya conference calls nyingi na watu wa mataifa tofauti wakwemo Wachina, Wakorea hata Warusi na Kingereza kimetuunganisha na kurahisisha shughuli, ningekua nimeganda kwenye lugha moja kama mlivyo ningechelewa sana.
Taarifa kama hizi za utafiti kwenye huu uzi zimewatesa mumeshindwa kuzielewa, inaonyesha jinsi gani nchi yote mnazidi kuchelewa kwenye mambo mengi tu.
[emoji848]huu wivu sasa mkuu!!!Mkenya unajisikia kuongea English kuliko hata mwingereza mwenyewe. Si mjivunie lugha zenu? Ushamba mzigo
Sent using Jamii Forums mobile app
Wivu wa kujua kuongea kingereza? Kumbe limbukeni sikujua
Hawa wanachofuta mzungu kasema haangalii yeye anaumiaje au anafaidikaje mzungu kwenye data hata akisema Tanzania GB1 elfu 10 Tsh juu yake c kaamua kusema muache aseme lakini mm cm yangu haijawahi kukaa dakika 5 bila ya bando . Na kama Tanzania GB 1 sawa na $5 na watanzania bado wanakesha kwenye mitandao bc watanzania wana Pesa sana kuliko wakenya
Sent using Jamii Forums mobile app
Wala!!
Nipo tena sana, maana wote naona hamna mwenye IQ ya kuelewa hii ripoti, kila mmoja ametiririka yale yale ya ofa za makampuni ya kimitandao.
Tukizungumza kuhusu ofa, yaani hata ndio msiongee maana hapa mimi nachezea internet bila kikomo nalipa kwa mwezi 1,500 za Kenya, hizo ni kama Tshs 30,000
Bila kikomo ina maana nafanya chochote, download za kila aina, natazama movies na pia nimegawa kama WIFI familia yote wameunga vifaa vyao, na walinzi kwenye estate huwa tumewaruhusu waunge pia.
Utapata tabu sana kuwaelewesha hawa jamaa...Narudia tena, kajifunze nini maana ya bila kikomo au unlimited kwa kingereza ambacho huwa hamkijui, ndio maana hata hii ripoti imewashinda kuelewa.
Ndio manake mk254 akasema hamsomi kwanza huaga mnakurupuka tu...Mimi natumia GB 25 kwa mwezi pamoja na call free kwa mitandao yote sms bure kwa 50000. Ambapo sawa na shilling 2000 kwa GB 1 na call free mitandao yote unlimited pamoja na sms. Natumia halotel.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbna wewe unajivuni kiswahili wala sio kisukuma...Mkenya unajisikia kuongea English kuliko hata mwingereza mwenyewe. Si mjivunie lugha zenu? Ushamba mzigo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa linganisha hyo 20ktzs 10GB kw mwezi na unlimited data kw ksh1500 kw mwezi[emoji848][emoji848][emoji848]Sijasoma hilo bandiko lake. Kumbe anasema 1GB kwa 5USD. Huo ni uongo. I'm now in bongo enjoying vacation. I bought 10GB to be used for a month for only 20kTZS. You can see how cheap is this.
Mbna wewe unajivuni kiswahili wala sio kisukuma...
Akili mgando kwel
Nyerere kawapoteza sana, mwenzenu mnafikiria alikomaa na lugha moja...aliwafanyia hvo ndio mgande akili ili apate kuwashikilia vizuri akili zenu
Sent using Jamii Forums mobile app