Bei ya internet Tanzania ni zaidi ya mara mbili ya Kenya

Bei ya internet Tanzania ni zaidi ya mara mbili ya Kenya

uzuri katika uzi huu hata wale watz wasiofurahishwa na utawala wa magufuli wamekupuuza.

umebaki peke yako ukitetea hoja zako za kijinga kama poyoyo.

Hehehe huu utafiti sio kwa ajili yangu, au Watanzania wasiofurahishwa na utawala, umehusisha mataifa mengi sana, sasa ukihangaika na mimi utachoka bure.
Nimekuelekeza kwenye uzi ambao kuna Watanzania wenzako walio na uelewa zaidi yako wametumia muda wao kudadavua taarifa za utafiti huu.
 
Jamaa Kilaza sana
Ni mzee wa kukurupuka
Eti 1GB=13000+Tsh!!
Umerogwa sio bure wewe
 
Huyo kilaza Sana, alafu ina maana familia na walinzi hawawezi kumudu kununua bando ndio maana anawapa Wi-Fi yake [emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ushamba unawasumbua wala sikushangai. Omba uraia wa UK mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sio lazima uwe raia wa UK ndio uzungumze au kuelewa Kingereza, kwanza siku hizi wengi tunakizungumza hata kuwazidi hao, ndio lugha ya dunia. Mimi hapa kwenye miradi yangu nafanya conference calls nyingi na watu wa mataifa tofauti wakwemo Wachina, Wakorea hata Warusi na Kingereza kimetuunganisha na kurahisisha shughuli, ningekua nimeganda kwenye lugha moja kama mlivyo ningechelewa sana.
Taarifa kama hizi za utafiti kwenye huu uzi zimewatesa mumeshindwa kuzielewa, inaonyesha jinsi gani nchi yote mnazidi kuchelewa kwenye mambo mengi tu.
 
Ushamba unakusumbua. halafu huna lolote sioni mtu wa kufanya biashara na warusi na wachina hapa.
Sio lazima uwe raia wa UK ndio uzungumze au kuelewa Kingereza, kwanza siku hizi wengi tunakizungumza hata kuwazidi hao, ndio lugha ya dunia. Mimi hapa kwenye miradi yangu nafanya conference calls nyingi na watu wa mataifa tofauti wakwemo Wachina, Wakorea hata Warusi na Kingereza kimetuunganisha na kurahisisha shughuli, ningekua nimeganda kwenye lugha moja kama mlivyo ningechelewa sana.
Taarifa kama hizi za utafiti kwenye huu uzi zimewatesa mumeshindwa kuzielewa, inaonyesha jinsi gani nchi yote mnazidi kuchelewa kwenye mambo mengi tu.
 
Mimi natumia GB 25 kwa mwezi pamoja na call free kwa mitandao yote sms bure kwa 50000. Ambapo sawa na shilling 2000 kwa GB 1 na call free mitandao yote unlimited pamoja na sms. Natumia halotel.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa wanachofuta mzungu kasema haangalii yeye anaumiaje au anafaidikaje mzungu kwenye data hata akisema Tanzania GB1 elfu 10 Tsh juu yake c kaamua kusema muache aseme lakini mm cm yangu haijawahi kukaa dakika 5 bila ya bando . Na kama Tanzania GB 1 sawa na $5 na watanzania bado wanakesha kwenye mitandao bc watanzania wana Pesa sana kuliko wakenya

Sent using Jamii Forums mobile app

Sijasoma hilo bandiko lake. Kumbe anasema 1GB kwa 5USD. Huo ni uongo. I'm now in bongo enjoying vacation. I bought 10GB to be used for a month for only 20kTZS. You can see how cheap is this.
 
Tatizo la watanzania hawasominwalaelwa, wao kazi kukurupuka tu[emoji1787][emoji1787]
Wala!!
Nipo tena sana, maana wote naona hamna mwenye IQ ya kuelewa hii ripoti, kila mmoja ametiririka yale yale ya ofa za makampuni ya kimitandao.
Tukizungumza kuhusu ofa, yaani hata ndio msiongee maana hapa mimi nachezea internet bila kikomo nalipa kwa mwezi 1,500 za Kenya, hizo ni kama Tshs 30,000
Bila kikomo ina maana nafanya chochote, download za kila aina, natazama movies na pia nimegawa kama WIFI familia yote wameunga vifaa vyao, na walinzi kwenye estate huwa tumewaruhusu waunge pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Narudia tena, kajifunze nini maana ya bila kikomo au unlimited kwa kingereza ambacho huwa hamkijui, ndio maana hata hii ripoti imewashinda kuelewa.
Utapata tabu sana kuwaelewesha hawa jamaa...
Kiufupi tanzania internet ni ghali mno, wao hupagawa na offer za kijinga jinga za daily. kumbe hawajui km kenya ksh1500, unapata unlimited data unaunga na watu wengine pia...

Mk254 ..sai nipo nimetulia natumia wi-fi pole pole tu kw bei rahisi kabisa
20191216_200111.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi natumia GB 25 kwa mwezi pamoja na call free kwa mitandao yote sms bure kwa 50000. Ambapo sawa na shilling 2000 kwa GB 1 na call free mitandao yote unlimited pamoja na sms. Natumia halotel.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio manake mk254 akasema hamsomi kwanza huaga mnakurupuka tu...
Sasa unataka kulinganisha GB 25 na unlimited data[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yani kitu hakiishi hata mkatumia watu 50 kila siku kw mwezi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkenya unajisikia kuongea English kuliko hata mwingereza mwenyewe. Si mjivunie lugha zenu? Ushamba mzigo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbna wewe unajivuni kiswahili wala sio kisukuma...
Akili mgando kwel
Nyerere kawapoteza sana, mwenzenu mnafikiria alikomaa na lugha moja...aliwafanyia hvo ndio mgande akili ili apate kuwashikilia vizuri akili zenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijasoma hilo bandiko lake. Kumbe anasema 1GB kwa 5USD. Huo ni uongo. I'm now in bongo enjoying vacation. I bought 10GB to be used for a month for only 20kTZS. You can see how cheap is this.
Sasa linganisha hyo 20ktzs 10GB kw mwezi na unlimited data kw ksh1500 kw mwezi[emoji848][emoji848][emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom