Ndio desturi yetu Wakenya, tunajituma kisha tunakula bata msimu huu, tutatalii kote kote, kwa sasa hivi tiketi za SGR zimeisha kwa mwezi wote, mahoteli yamekua fully booked, kote hadi Naivasha mpaka Pwani nenda mpaka Zanzibar uje hadi Arusha.
Tatizo nyie haya mambo hayapo kwenu, niliona eti kundi la Watanzania kukwea mlima Kilimanjaro inakua habari za kitaifa kila siku inajadiliwa..
Ni kweli wakenya wanapenda kutembea huku kwetu napo huo utamaduni upo ila kwa ndani ya nchi.
Sent using Jamii Forums mobile app
mikenya bana!hapo sembe hakuna na majibhayatoki kwako upo bize kuweka rates za internetHizi taarifa zinahitaji akili kuzielewa, usijibu kwa kuwaza kuhusu offers na vifurushi vya makampuni.
Na umekazana sanaWacha kurukia mashaza jomba, huoni mwenzako kakimbia...
Tatizo lenu hamsomi mkaelwa kwanza, huaga mnakurupuka tu walai...
Mwenzako kasema "mbna hatujivunii lugha zetu" haya sasa wewe hapo nieleze lugha ya taifa aliyomaanisha ni ipi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hiko si kifurushi cha Halichachi kwa TZMkifika level hii mnitag[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1298195
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole naona Krisimasi imekuharibikia, ila sisi wengine huku ni full bata muda huu.
Halotel
Tunayo mkuu, kuna bandle linaitwa HALICHACHI , mwisho wake n pale utakapo maliza kutumia ulicho nunua , hata kama n baada ya mwaka, haina ukomoMkifika level hii mnitag[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1298195
Sent using Jamii Forums mobile app