kiwiko
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 1,341
- 2,214
Ni kweli wakenya wanapenda kutembea huku kwetu napo huo utamaduni upo ila kwa ndani ya nchi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio desturi yetu Wakenya, tunajituma kisha tunakula bata msimu huu, tutatalii kote kote, kwa sasa hivi tiketi za SGR zimeisha kwa mwezi wote, mahoteli yamekua fully booked, kote hadi Naivasha mpaka Pwani nenda mpaka Zanzibar uje hadi Arusha.
Tatizo nyie haya mambo hayapo kwenu, niliona eti kundi la Watanzania kukwea mlima Kilimanjaro inakua habari za kitaifa kila siku inajadiliwa..
Sent using Jamii Forums mobile app