CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Nisha wahi kuja na post kuhusu haya matunda. Haya matunda yanalimwa comercialy na watu wa mbele hawa wanayapenda sana, Ni matunda tiba, Niliwahi leta uzi wake humu, coment zikawa ni kule kwetu haya ni mengi sana.
Hii ni Jana nilikutana nayo Shoppers.
Prickly pears ingawa pia kuna highbrid yake ila still yale ya kule kwetu haya ni mengi sana badi yanafaa sana. Souyj Africa ndio exporter mkubwa wa prickly pears kwa Africa. Pia yale majani yake ni dili kubwa sana.