Kulishia mifugo, ila huwapi moja kwa moja kuna kuyachakata. Ila pia majani yake yale ukiyavundika yanaweza zalisha biogas ya hatari sana.
View: https://x.com/rainmaker1973/status/1883055370941395207?s=46
Naona yanamatumizi mengi zaidi, ikiwemo kutengenezea lipstick