Bei ya kilo ya Prickly pears tunda ni sh 31,000/ wale wa kule kwetu haya ni mengi sana karibuni.

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2011
Posts
7,872
Reaction score
9,263



Nisha wahi kuja na post kuhusu haya matunda. Haya matunda yanalimwa comercialy na watu wa mbele hawa wanayapenda sana, Ni matunda tiba, Niliwahi leta uzi wake humu, coment zikawa ni kule kwetu haya ni mengi sana.

Hii ni Jana nilikutana nayo Shoppers.

Prickly pears ingawa pia kuna highbrid yake ila still yale ya kule kwetu haya ni mengi sana badi yanafaa sana. Souyj Africa ndio exporter mkubwa wa prickly pears kwa Africa. Pia yale majani yake ni dili kubwa sana.
 
Yana shughuli gani mwilini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…