Bei ya kiwanja Mbezi, Bunju au Kigamboni unapata nyumba Chanika au Mbagala

Katika maisha kila mtu anayo malengo ya wapi angependa aishi, Kuna watu hata uwape bure kiwanja hawatojenga huko Chanika, Mbagala, Vikindu n.k bali yupo tayari ajenge Bunju ambapo kauziwa kiwanja kwa 35M.

Usisahau pia kuwa unapotarajia kujenga na kuweka makazi yako ndio watakapoishi wanao, so jiridhishe kama panastahili kabla ya kufanya maamuzi.
#uswahilinihakuna#Malezi
 
We limutu ni limaskini la mali & fikra yani unataka mtu mwenye pesa akajichanganye na waswahili(wachawi na waabudu majungu) wakati pesa ya kuishi ushuani anayo
 


Ardhi ya sehemu husika inamchango mkubwa wa kuamua mafanikio yako.
So issue sio tu kununua ardhi Bali unanunua ardhi sehemu gani?

Linganisha hizo sehemu mbili tofauti hata kwa upande wa mafanikio kiuchumi kwa wahusika utagundua Kuna utofauti wa watu waliojenga sehemu hizo.

Pande za kaskazini wengi wamejenga sehemu za mbezi,bunju,kigamboni nk

Ila wa makabila ya kusini wengi wamejenga gongola mboto,Chanika,mbagala.nk

Binafsi nimechunguza nikagundua utofauti mkubwa
 
Kuna maeneo bado yapo sio kwa Bei kubwa sana huko bunju. Mfano mwabepande,kinondo nk.hata milioni na nusu sqr miter 400 unapata
 
Kuna maeneo bado yapo sio kwa Bei kubwa sana huko bunju. Mfano mwabepande,kinondo nk.hata milioni na nusu sqr miter 400 unapata
Wakati Puna kilichopimwa sq 400 Mili3
 
#Yamkosaji#
Wivu unakusumbua, unatamani na wewe ungeweza kununua ukae huko kama hao wenye mjiipesa yao.
Mbagala kina kajamba nani, dari kwa dari, dirisha kwa dirisha mnasikilizana mnachunguliana nani kafanya nini, nani kasrma nini....

Kila mmoja na mapendeleo na mapenzi ya kile kinachompendeza! [emoji108]

Binafsi nikikipenda kitu hata kama ni ghali nanunua!!!... Ndio roho imependaaa....

Bibi weee jikune unapoweza[emoji108]

Na Ya ngoswe muachie ngosweeee...

Sasa umekuja humu ili iweje[emoji849] uwavinje watu moyo wasi nunuee au...

Kama nakupna vileee... na mijumba ya watu na maeneo yao ya kujomwaga huko mbezi... Bunju.... Kigamboni.... n.k..[emoji2956]
 
Mwambie[emoji419]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…