Hello JF,
nimeona kwa kuchangia,nina nyumba nauza mbezi beach upande wa masana njia ya goba.kitua cha nne kutoka hospitali ya masana mbezi beach.kwa mawasiliano zaidi 0713246244.
maelezo kwa ufupi:-Bei mil 60.
vyumba viwili,kimoja master kubwa na choo kikubwa,kuna heater maji ya moto,sebule na dinning kubwa,kuna A/c mbili,moja master nyingine sebuleni inasambaza nyumba nzima.jikoni kuna shelf za vyombo na maji yameunganishwa yanatoka ikiwa yamejazwa kwenye tank,kuna tank la lita 3000,get la kuslide na uwanja wa kupaki magari mawili makubwa.imezungushiwa ukuta nyumba nzima na kuna store yakuwekea vitu kwa nje kama atahitaji.karibu kwa maelezo zaidi na picha.pia ukitaka kuona sehemu.mimi ndie mmiliki sio dalali.asante wadau.
View attachment 1846747
View attachment 1846748
View attachment 1846749