Bei ya kiwanja Mbezi, Bunju au Kigamboni unapata nyumba Chanika au Mbagala

Ukubwa wa kiwanja tafadhali. Mpaka kituo cha 4 siyo Goba huko?
hapana sio goba,kituo kinaitwa,kwa sanya.kutoka masana hadi kwenye eneo ni Tsh 1500/- kwa toyo..karibu

76CF489C-819A-4695-86FE-7888E8101B6D.jpeg
 
Hivi ukijenga Mbezi, Kigamboni au Huko Bunju ndani unapata huduma za jamii bure?

Mbona watu wanauziwa ardhi kwa bei kubwa sana?

Pesa ya Kiwanja tu unapata Nyumba nzuri tu Mbagala, Chanika na viunga vyake. Mimi nilinunua kiwanja 400 square miter chanika kwa 1 M. Tu tena kimepimwa. Nilinunua Pugu kilichopimwa pia kwa 3m tu 625 square metre.

Mimi sifanyi ujinga wa kununua kiwanja milioni 10 au ishirini kisa tu kiko Mbezi tena hiyo Mbezi unapelekwa huko ndani ndani.
Kwa hiyo unadhani anayeishi chanika ni sawa na masaki au mbezi beach,nitajie kiongozi au mtu maarufu anayeishi chanika
 
Didas masaburi mzee Yusuph philip mpango hao ni wachache na kuna wachezaji wa simba wanajenga ila bado hawajamaliza ujenzi
 
Hivi ukijenga Mbezi, Kigamboni au Huko Bunju ndani unapata huduma za jamii bure?

Mbona watu wanauziwa ardhi kwa bei kubwa sana?

Pesa ya Kiwanja tu unapata Nyumba nzuri tu Mbagala, Chanika na viunga vyake. Mimi nilinunua kiwanja 400 square miter chanika kwa 1 M. Tu tena kimepimwa. Nilinunua Pugu kilichopimwa pia kwa 3m tu 625 square metre.

Mimi sifanyi ujinga wa kununua kiwanja milioni 10 au ishirini kisa tu kiko Mbezi tena hiyo Mbezi unapelekwa huko ndani ndani.
Siwezi kununua kiwanja cha square m400 chanika kwa milioni mzee wakati msanga huko uzaramoni hiyo milioni napata heka mbili kwani huduma za kijamii hapo chanika napo ni bure mpk wauze viwanja bei ghali ivyo??
Sifanyi ujinga huo mimi...[emoji24]
 
Didas masaburi alimjengea mchepuko wake tu huko .huyo mpango ana umaarufu gani mjini,
Ile barabara wanaijenga sasa hivi toka awe makamo wa raisi
Ibrahim ajibu anajenga
Zimbwe jr anajenga
Nyuma kidogo yupo sure boy na shilole kwa mbaali
 
Hivi ukijenga Mbezi, Kigamboni au Huko Bunju ndani unapata huduma za jamii bure?

Mbona watu wanauziwa ardhi kwa bei kubwa sana?

Pesa ya Kiwanja tu unapata Nyumba nzuri tu Mbagala, Chanika na viunga vyake. Mimi nilinunua kiwanja 400 square miter chanika kwa 1 M. Tu tena kimepimwa. Nilinunua Pugu kilichopimwa pia kwa 3m tu 625 square metre.

Mimi sifanyi ujinga wa kununua kiwanja milioni 10 au ishirini kisa tu kiko Mbezi tena hiyo Mbezi unapelekwa huko ndani ndani.
Unafikiri ni kwa nini bilionea SS Bakhresa alipofanya Kariakoo ndiyo makazi yake, watu walimpinga na kumtaka akakae Masaki na alifanya hivyo?
 
Hivi ukijenga Mbezi, Kigamboni au Huko Bunju ndani unapata huduma za jamii bure?

Mbona watu wanauziwa ardhi kwa bei kubwa sana?

Pesa ya Kiwanja tu unapata Nyumba nzuri tu Mbagala, Chanika na viunga vyake. Mimi nilinunua kiwanja 400 square miter chanika kwa 1 M. Tu tena kimepimwa. Nilinunua Pugu kilichopimwa pia kwa 3m tu 625 square metre.

Mimi sifanyi ujinga wa kununua kiwanja milioni 10 au ishirini kisa tu kiko Mbezi tena hiyo Mbezi unapelekwa huko ndani ndani.
Neighborhood ni muhimu sana, hiyo ndio itaamua watoto wako watakuwaje, usitegemee uwaweke Mbagala halafu wasiwe na tabia za Mariam wa Migomba ila wakikaa Kimara ndio watakuwa kama Sia Kanza
 
Kuna kitu kimoja nimejifunza katika ununuzi wa viwanja ukiona mahara kiwanja kinauzwa 20M*20M chini ya millioni 8-10 ujue tu hapo lazima kutakuja kuwa pa kiswahili na vijumba vya kiswahili

Ila amini usiamini ukiona mtu ananunua kiwanja juu ya hiyo bei ujue hapo nyumba zitakazo jengwa na aina ya watu watakaoishi hapo ni middle class fulani

Ilaaa ukiona viwanja ni millioni 1-5 kwa ukubwa wa 400sqm uwezekano wa Uswahili hapo ni mkubwa sanaa
 
Back
Top Bottom