Rose Of Africa
JF-Expert Member
- Apr 27, 2020
- 228
- 96
Huyu ni wivu unamsukutua! atakufa nacho kijibaaaa cha roho[emoji24][emoji30][emoji849]Mkuu, I'm sure haujapata tu pesa.
Na hata ukija kuwauliza hao walio nunua huko Mbezi, lazima walipata pesa kwanza ndipo wakanunua viwanja vya bei ghali.
Hii inaitwa Mjini hakukaliki! na kijijini hakuendeki!karo hapo huna ila choo cha shimo, masika yasipokuja na mafuriko mtaa mzima harufu
kama huna uwezo hata wa kupanga nyumba bora basi
ila p/se usijenge nyumba eti na wewe umeshika ardhi 400sq/m kweli?
Puna Yale yale iko kigamboni,Ukitoka Kimbiji Kama unaenda Buyuni.Mita 700 toka ufukweni,pia na Buyuni vya Halmashauri sq 1 sh 6000.
siwezi ishi na wandengereko, kutwa vigodoro na baoCha ukabila
Hii ni dalili kuwa JF ni high Social class isipokuwa mleta Mada.Dah yani hakuna hata mmoja aliyeunga mkono hoja ya mleta uzi 😂🤣
Wengine humu hata viwanja hawana ila wanajifanya matawi ya juu.Hii ni dalili kuwa JF ni high Social class isipokuwa mleta Mada.
ushauri;
ahamie kwa wenzake kuleee FB.
Afadhali anajua pa kujenga, ana mipango mizuri bado anakusanya ziwe nyingi, siku isokuwa na tarehe ataenda kujenga kwa wenzake Mbezi. hata Lady JD aliimba kabla y a Diamond lkn nani zidi? kutangulia si kufika ndg.Wengine humu hata viwanja hawana ila wanajifanya matawi ya juu.
Kuna mmoja namjua ni dalali kapondea maisha ya sehemu nilizotaja, hana hata nyumba. Nimetumia account ambayo yeye haijui that's why kakomenti kwa ujasiri
Daah umenikumbusha msange JKTMleta mada kwa hela hiyohiyo unayonunulia Mbagala, chanika nyumba karunde/tabora vijijini unapata nyumba 3nzuri, moja unaishi mbili unapangisha! nenda tabora
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]Wengine humu hata viwanja hawana ila wanajifanya matawi ya juu.
Kuna mmoja namjua ni dalali kapondea maisha ya sehemu nilizotaja, hana hata nyumba. Nimetumia account ambayo yeye haijui that's why kakomenti kwa ujasiri
ukweli mchungu huuWengine humu hata viwanja hawana ila wanajifanya matawi ya juu.
Kuna mmoja namjua ni dalali kapondea maisha ya sehemu nilizotaja, hana hata nyumba. Nimetumia account ambayo yeye haijui that's why kakomenti kwa ujasiri
ukweli mchungu huu
823 KJ!! ..........Operation gani Mkuu Daaa!!!!!Daah umenikumbusha msange JKT
Ukubwa wa kiwanja tafadhali. Mpaka kituo cha 4 siyo Goba huko?Hello JF,
nimeona kwa kuchangia,nina nyumba nauza mbezi beach upande wa masana njia ya goba.kitua cha nne kutoka hospitali ya masana mbezi beach.kwa mawasiliano zaidi 0713246244.
maelezo kwa ufupi:-Bei mil 60.
vyumba viwili,kimoja master kubwa na choo kikubwa,kuna heater maji ya moto,sebule na dinning kubwa,kuna A/c mbili,moja master nyingine sebuleni inasambaza nyumba nzima.jikoni kuna shelf za vyombo na maji yameunganishwa yanatoka ikiwa yamejazwa kwenye tank,kuna tank la lita 3000,get la kuslide na uwanja wa kupaki magari mawili makubwa.imezungushiwa ukuta nyumba nzima na kuna store yakuwekea vitu kwa nje kama atahitaji.karibu kwa maelezo zaidi na picha.pia ukitaka kuona sehemu.mimi ndie mmiliki sio dalali.asante wadau.
View attachment 1846747
View attachment 1846748
View attachment 1846749