Bei ya line za TIGO PESA, M-PESA na AIRTEL MONEY

Bei ya line za TIGO PESA, M-PESA na AIRTEL MONEY

Magnificient

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2013
Posts
1,162
Reaction score
705
Habari kwa woote wadau wa jf! Naomba kusaidiwa bei ya line za tigo pesa, m-pesa na airtel money kama ukienda kununulia makao makuu yao. Natanguliza shukrani.
 
Haziuzwi ila unachohitajika ni kuwa na mtaji....kama utanunua kihalali ila kimtaani ndio unapigwa....
Mtaji ni ka 1M....
 
Jamani, mi najua kuna laini za TIGO, AITEL & VODACOM na ndo tulizo nazo sisi, sasa hizi za TIGO PESA sijui M-PESA mara AIRTEL MONEY, Endelea kuulizia......
 
Jamani, mi najua kuna laini za TIGO, AITEL & VODACOM na ndo tulizo nazo sisi, sasa hizi za TIGO PESA sijui M-PESA mara AIRTEL MONEY, Endelea kuulizia......

AITEL ndo mtandao gani?
 
Kweli mbongo atabaki kama mkia siku zote, so we unadhani mi ni mashine sio? hata mashine yenyewe hukosea, funguka sema shida yako nyingine, au nikupe mtihani wa kiswahili tuone kama hauta ondoka na boli. Acha ushamba changamka kuwa muelewa ok?
 
Ni wewe tu ndiye utabaki kama mkia siku zote, hata tunaposema line ya tigo pesa hujui tunamaanisha nini? Acha umbumbumbu, sio unapost ujinga halafu yanakushinda. $h£Nz xana!
 
Back
Top Bottom