PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 14,521
- 46,663
himilivu kwako uliyezigeuza fedha kuwa matandiko,huku walalahoi wakihenya angalau ka mlo kamojaBado ni himilivu kuliko nchi zinazotuzunguka je unaijua Malawi bado Lita ya wese ni 10000.... Rwanda 5000
Mind tatizo la wese ni globally.....sio tu bongo.....
Bei imeshuka tena na sasa ni $ 67Yaani mifumo ipo kwaajili ya kulinda wevi kupitia dola.
Pipa la mafuta kwenye masoko ya Dunia limeshuka toka $105 mpaka $75, sawa na ilivyokuwa kabla ya vita. Lakini kwa Tanzania, kwa sababu wafanyabiashara wamepata upenyo wa kuwanyang'anya pesa Watanzania kupitia biashara, watanzania wataendelea kuumia. Hiyo ndiyo maana ya wevi kumiliki dola.
Hawa wevi kupitia biashara, kwa kuishirikisha dola, watakuwa wanaombea matatizo kama ya vita yaendelee ili wao wapate upenyo wa kuendelea kuwadhulumu watanzania.
Mleta mada nadhani utakua mgeni na mbogamboga, toka lini hao watu wameanza kujali wa
acha porojo na upotoshaji useless gentleman,Hivi neno uzalendo mnajua maana yake? Mbatuambia tuipende nchi yetu huku nyie wenyewe mkiishi kwenye dimbwi la anasa na watoto wenu.
Bei ya mafuta Huko duniani imeshuka Kwa kiwango cha chini kabisaa lkn bado mnakuja kupunguza Tsh 96 hivi nyie ni wazima kweli?
Mbona kwenye kupanda mlipandisha 1000 nzima lkn kwenye kushuka mnashuka Kwa 96/=
Hakuna mpumbavu anaweza kuwa mzalendo na nchi hii Kwa UJINGA kama huu
Wabongo bhana hamsafiri mpo hapo hapo mlipo miaka nenda rudi kama jiwe la mtoni harafu mnatoa taarifa za Malawi mimi nimenunua diesel Mchinji wiki iliyopita nikitokea SA sawa na Tsh 4100 na ndio bei ya Malawi maeneo yote sawa na Kwatcha 6306 nilichogundua ilipokua Malawi kwatcha 8000 mkawa mnasema ipo 8000 Tsh kazi ipo aisee..Bado ni himilivu kuliko nchi zinazotuzunguka je unaijua Malawi bado Lita ya wese ni 10000.... Rwanda 5000
Mind tatizo la wese ni globally.....sio tu bongo.....
Stupid!acha porojo na upotoshaji useless gentleman,
kua mkweli tu na itapendeza zaidi π
Tuambie ukweli ndugu.acha porojo na upotoshaji useless gentleman,
kua mkweli tu na itapendeza zaidi π
Tozo ni sababu na pia wafanyabiashara wa mafuta ndio wanapanga bei hao Ewura wapo bosheni tu pale..Wanaambiwa watoe/wapunguze tozo zisizo na tija ili yashuke bei wanakaza fuvu ......
well done,Stupid!
ni muhimu sana mtoa hoja kutafiti kwanza kuhusu jambo fulani kabla kuelezea upotoshaji nonsense kama huo, huenda nawe una hulka za uongo kama zake.Tuambie ukweli ndugu.
Wengi humu ndani kusafiri kwao ni kwenda kariakoo na kurudiWabongo bhana hamsafiri mpo hapo hapo mlipo miaka nenda rudi kama jiwe la mtoni harafu mnatoa taarifa za Malawi mimi nimenunua diesel Mchinji wiki iliyopita nikitokea SA sawa na Tsh 4100 na ndio bei ya Malawi maeneo yote sawa na Kwatcha 6306 nilichogundua ilipokua Malawi kwatcha 8000 mkawa mnasema ipo 8000 Tsh kazi ipo aisee..
SA pamoja na maandamano yao lakini wameshashusha bei mara mbili pamoja na leo pia..
Huyo fala huwa simjibu kabisaa sikuzote nikiona hata post zake huwa sifungui kusoma ndiyo maana nimekaa kimya tuTuambie ukweli ndugu.