Bei ya mafuta imeshuka Kwa Tsh 96/= pekee, uzalendo Kwa nchi hii utatokea wapi?

Bei ya mafuta imeshuka Kwa Tsh 96/= pekee, uzalendo Kwa nchi hii utatokea wapi?

ni muhimu sana mtoa hoja kutafiti kwanza kuhusu jambo fulani kabla kuelezea upotoshaji nonsense kama huo, huenda nawe una hulka za uongo kama zake.

eti bei ya mafuta ilipandaje kwa kiasi gani nchini, na kwingineko ulimwenguni?

Lakini pia,
huenda nyote hamna uelewa na ufahamu wa kutosha dhidi ya gharama za mafuta na namna bei ya bidhaa hiyo zinavyopanda na kushuka duniani 🐒
We ni mpu.mbavu.
 
Hao wafanyabiashara ya mafuta ndio waliomchangia samuya mabilioni ya kampeni, so what do you expect???.
 
Back
Top Bottom