PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 14,521
- 46,663
Hivi neno uzalendo mnajua maana yake? Mbatuambia tuipende nchi yetu huku nyie wenyewe mkiishi kwenye dimbwi la anasa na watoto wenu.
Bei ya mafuta Huko duniani imeshuka Kwa kiwango cha chini kabisaa lkn bado mnakuja kupunguza Tsh 96 hivi nyie ni wazima kweli?
Mbona kwenye kupanda mlipandisha 1000 nzima lkn kwenye kushuka mnashuka Kwa 96/=
Hakuna mpumbavu anaweza kuwa mzalendo na nchi hii Kwa UJINGA kama huu