Jana nimenunua mafuta ya kupikia hapa Ubungo - River Side.
KORIE dumu la lita 20, shillingi 79,000/=. Hayo mafuta yaliyoingia bandarini ya kutosha matumizi ya miezi sita yako wapi? Au ni wafanyabiashara wakubwa wameficha mzigo ili bei iendelee kuwa juu?
Prof Kitila mkumbo na naibu wake si walisema mzigo wa kutosha unapakuliwa bandarini, mbona bei hazishuki hata 100?
Mawazo yenu Members.