Njoo nikuuzie ya kitimoto 40,000/= kwa Lita 20 !!Jana nimenunua mafuta ya kupikia hapa Ubungo - River Side.
KORIE dumu la lita 20, shillingi 79,000/=. Hayo mafuta yaliyoingia bandarini ya kutosha matumizi ya miezi sita yako wapi? Au ni wafanyabiashara wakubwa wameficha mzigo ili bei iendelee kuwa juu?
Prof Kitila mkumbo na naibu wake si walisema mzigo wa kutosha unapakuliwa bandarini, mbona bei hazishuki hata 100?
Mawazo yenu Members.
Kupaza sauti ya nini? Hayo mafuta Ni kujitafutia tu maradhi , watu wale michemshoUpo sahihi kabisa mkuu! Mi nashangaa uzi za maana kama hizi ambazo watu wanatakiwa waungane wapaze sauti hawana muda, nadiriki kusema watanzania ni wajinga sana. Ingekuwa nchi nyingine,kupanda kwa mkate tu kunasababisha maandamano makubwa! Fikiria mafuta ya kula yanaigusa kila familia, na zaidi watu wengi sana wanajiajiri kupitia mafuta ya kula kama mtaji mkuu. Watu kama mama ntilie nchi nzima,mahoteli,wakaanga samaki, chips na biashara zingine kedekede! Mi nilivyoona tumepata Rais mwanamke nikajua atajali vilio vya wamama wenzake waliojiajiri mamillion. Lakin mama yupo kimya anakula kiyoyozi tu ikulu
Laana tenaJumong anakenua meno na kuwa busy na kuongea na wanawake pamoja na wazee wa CCM badala ya kuset direction ya Taifa.She is hopeless and cursed president.Huwezi kuwa na laana za Kayafa kisha ufanye la maana.Jumong ana laana za Kaka yake Kayafa,she is clueless!
Jumong alishirikiana na Kaka yake Kayafa katika kuteka,kuua,kutesa,ubaguzi wa rangi,ukabila,ukanda,ukandamizaji wa demokrasia,ukandamizaji wa uhuru wa kujieleza na kadhalika kwa hiyo ana laana za Kaka yake.Laana tena.
nakufata pmMafita ya alizeti singida dumu 63000
Lita 5 17000
Lita moja tsh 7000Sundrop beigani?