Ndio hivyo mdau!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Wapenda Chips utawajua tu
Hawajui hata maisha yanavyokwenda maskini wa Mungu na wala hajajua mtoa mada ana maana ganimh, watu wanaoishi kwa mashemeji bwana!!!!!
šššššššSamahani acha ujinga, siishi Tanzania ndio maana nimeuliza
Korie au..!? Maana sundrop ni 52,000/- kwa ndo ya lita 10Huku kwetu mafuta ya kupikia ndoo ndogo (lt.10) yameshafikia Tshs. 45,000/=
Ahsanteni na usiku mwema!
Ni kweli, huku nilipo ni 46000/-Huku kwetu mafuta ya kupikia ndoo ndogo (lt.10) yameshafikia Tshs. 45,000/=
Ahsanteni na usiku mwema!
Huku kwetu mafuta ya kupikia ndoo ndogo (lt.10) yameshafikia Tshs. 45,000/=
Ahsanteni na usiku mwema!
TunapambanaHapa nilipo ni 43000... kwa lita 10
Kwani ile meli iliyosemwa hajashusha tu mzigo?
Korie, sundrop sijauliza......aisee!Korie au..!? Maana sundrop ni 52,000/- kwa ndo ya lita 10
Itakuwa kwenye TV kweli maana toka kipindi bei ya mafuta haijashuka hata kwa senti moja.Ile meli ilishusha Mzigo "BANDARI YA KWENYE TV".