Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 8,048
- 15,651
Hiyo ni fursa ya kuanzisha kiwanda kidogo cha mafuta, there's a lot of technology and cheap machine's from China for oil production...changamkeni๐๐๐๐๐๐๐
pole, ni kwamba hiyo bei ni kubwa sana......si muda mrefu sana tulikuwa tunanunua tshs. 26,000-28,000/=
nakukumbusha tu, kipato ni kile kile