Bei ya mafuta ya kupikia lita 10 imefika Tsh 45,000

Bei ya mafuta ya kupikia lita 10 imefika Tsh 45,000

Hapa nilipo alzeti halisi @ 6,000/= kwa Lita mengine @ 5,000/= kwa Lita
 
Huku kwetu mafuta ya kupikia ndoo ndogo (lt.10) yameshafikia Tshs. 45,000/=

Ahsanteni na usiku mwema!
[emoji23][emoji23]Sasa Nani atamfunga paka kengere, Wakati mtatuzi wa kero kwa matamko ya hapo kwa papo hayupo wiki kadhaaa,Tuisome namba tu maisha yaendelee
 
Wacha niongeze miwese shambani, hali inaelekea kuwa tete zaidi..
 
Huku kwetu mafuta ya kupikia ndoo ndogo (lt.10) yameshafikia Tshs. 45,000/=

Ahsanteni na usiku mwema!
Aina gani hayo? kuna haya ya alizeti super refined ni 30,000 kwa lita tano
 
Juzi kati nimenunua mafuta ya Alzet Lita 1 wanauza 6,800/= sijui kwa sasa hali ikoje!!
 
Back
Top Bottom