Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 8,048
- 15,651
Hiyo ni fursa ya kuanzisha kiwanda kidogo cha mafuta, there's a lot of technology and cheap machine's from China for oil production...changamkeniπππππππ
pole, ni kwamba hiyo bei ni kubwa sana......si muda mrefu sana tulikuwa tunanunua tshs. 26,000-28,000/=
nakukumbusha tu, kipato ni kile kile
Itakuwa kwenye TV kweli maana toka kipindi bei ya mafuta haijashuka hata kwa senti moja.
ππYanii nimeishiwa pozii Ba mjengo[emoji23] [emoji23] [emoji23] Wapenda Chips utawajua tu
Tutahamia kwenye nazi tundo hivyo mdau!!!
Aina gani hii mkuu?Safi Lita 3 16000
Siyo kweli bwana 46,000Huko Toronto naskia yamefikia 50000. Azam ngano na Azania. 35000
Mwigulu anakutafuta.Magu angekuwa yupo hai angetusaidia hili
Haya hapa mkuuAina gani hii mkuu?
Na wewe bila chips siku haijapita mama mjengo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]Yanii nimeishiwa pozii Ba mjengo
We uliamini?Kwani ile meli iliyosemwa hajashusha tu mzigo?
Yana bei tofauti..korie, sundrop sijauliza......aisee!