Samaki Nchanga
Member
- Dec 31, 2018
- 95
- 55
Mkuu wapi huko !?Kwa sasa kilo ya mahindi 850tshs
Bei huamuliwa na soko bwana mdogoWakuu Habari?
Katika Harakati za Kuongeza kipato Huu ni mwaka wa pili sasa Nimeingia kwenye kilimo Cha mahindi huku Ukanda wa Kusini mwa Tanzania.
Lakini Kuna Jambo Naliona Zao hili lina Ukiritimba mwingi hasa kwenye Bei Nafikiri ndo maana Wakulima wengi wa Mahindi ni masikini Maan unalima Uhakika wa bei Uko Gizani. Kwa wajuzi na wafuatiliaji Je mwaka huu Bei ya Mahindi Itakuwaje!?
Je, Wanaosema itapanda kisa uchaguzi Kuna uhakika? Naomba tafadhali Mwenye uzoefu Atuibie Taarifa za mwelekeo wa Hili zao
Je, Bei inaweza kuwa kiasi gani kwa Kg?
Nawasilisha
Ekari moja na wajiita mkulima? Not serious!Mimi ni mkulima Mdogo wa mahindi nipo Tanga tumelima mahindi ya vuli mpaka Sasa watu wanapalilia mahindi ya mwaka gunia la mahindi ni elfu 40 ina maana watu wakivuna yataendelea kushuka
Nimelima ekari moja tu ya mahindi ya kula eneo lililobaki nimejilipua na maharage
Kwanini mkuuMimi ni mkulima mdogo, ila kwa kweli nikitoka salama mwaka 2024 Mahindi nitalima kwa ajili ya chakula cha familia yangu tu....
kwasabb ya chakula kuhitajika sana kwa majirani zetu kwasabb mbalimbali mathalani mafuriko, vita au ukame, kwa mfano,Wakuu Habari?
Katika Harakati za Kuongeza kipato Huu ni mwaka wa pili sasa Nimeingia kwenye kilimo Cha mahindi huku Ukanda wa Kusini mwa Tanzania.
Lakini Kuna Jambo Naliona Zao hili lina Ukiritimba mwingi hasa kwenye Bei Nafikiri ndo maana Wakulima wengi wa Mahindi ni masikini Maan unalima Uhakika wa bei Uko Gizani. Kwa wajuzi na wafuatiliaji Je mwaka huu Bei ya Mahindi Itakuwaje!?
Je, Wanaosema itapanda kisa uchaguzi Kuna uhakika? Naomba tafadhali Mwenye uzoefu Atuibie Taarifa za mwelekeo wa Hili zao
Je, Bei inaweza kuwa kiasi gani kwa Kg?
Nawasilisha
Kwa kuwa wewe una-access na mamlaka utusaidie, hii bei ya Mahindi ipandekwasabb ya chakula kuhitajika sana kwa majirani zetu kwasabb mbalimbali mathalani mafuriko, vita au ukame, kwa mfano,
Malawi, Burundi, south Sudan, somalia n.k ni dhahiri bei ya mahindi itakua nzuri unless vyombo flani flani vitatize hiyo hali 🐒
Mkuu kilimo cha zao hili ni ngumu kwa sababu hiiKwanini mkuu
INAUMIZA SANA...Mkuu kilimo cha zao hili ni ngumu kwa sababu hii
1. kwanza uandaa shamba
2.Ulime jembe la kwanza
3. Jembe la pili la kupandia
4. Bei ya mbegu bei iko juu.
5. Yakishaanza kuota, kanitangazi anaanza kufanya yake
6. Unanunua dawa, unaanza kuweka vibarua wa kupia hiyo dawa
7. Unaanza palizi la kwanza na la pili.
8. Unavuna, unaanza kuweka kwenye magunia.
ANAKUJA DALALI ANATAKA MAHINDI KWA 30,000 AU 40,000 KWA GUNIA
CC Tlaatlaah
Kwa kupanda au kushuka bei?Kwa kweli awali ya yote nimshukuru Mweshimia Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassani.
Mkuu uko Tanga maeneo gani? mm nalima KabukuMimi ni mkulima Mdogo wa mahindi nipo Tanga tumelima mahindi ya vuli mpaka Sasa watu wanapalilia mahindi ya mwaka gunia la mahindi ni elfu 40 ina maana watu wakivuna yataendelea kushuka
Nimelima ekari moja tu ya mahindi ya kula eneo lililobaki nimejilipua na maharage