Bei ya Mahindi 2024 itamnyanyua au itamnyanyasa Mkulima?

Bei ya Mahindi 2024 itamnyanyua au itamnyanyasa Mkulima?

Malawi na Zambia wamepigwa na ukame msimu huu. So hawajapata mahindi ya kutosha. So wameshaanza kuhaha kutafutisha mahindi Tanzania. Bei itapanda.

Pia muda mzuri wa kuuza mahindi ni kati ya mwezi wa 12 na mwezi wa 1 kwenda wa 2. Hapo bei ndo huwa inapanda sana juu Tanzania.
 

Attachments

  • IMG_8204.jpeg
    IMG_8204.jpeg
    455.9 KB · Views: 21
Mkuu ngoja nikushauri kitu kidogo unaweza fata au ukaona inakuaje,, hapo usilime eka 4 lima eka 3 au 2 pekee kama haupo mwenyewe shambani eka hizo zinaweza kulinda mtaji na hela nyingine jiwekeze mdogo mdogo ila ukimaliza sasa ingia mwenyew field kapige kazi kweli kweli mkuu nina experience na hilo.
Nimekupata kaka mkubwa, nitalima eka 2 ama 3 za mahindi. Msimu wa 2025/26 naingia mwenyewe kazini. Nategemea kilimo kitanitoa, mdogomdogo
 
Back
Top Bottom