Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo Nachingwea??Nachingwea Lindi ni 32
Ili tule nn?Pole mkuu, limeni mazao ya biashara, achaneni na mazao ya chakula.
Kwanza Kwa nature ya mkulima mdogo hakuna namna atakuja kufaudika na Kwa tafsiri yangu mkulima mdogo ni yule analima ekari 10 kushuka chini.Wakuu nimeamini sisi wakulima wadogo wadogo hatutokaa tupate utajiri kupitia kilimo kamwe,
Nimeshangaa bei za mahindi kwa huku Handeni mpaka sahivi eti gunia ni 35000 ukizingatia mahindi ya mwaka yanaiva kwahiyo mpaka kufikia mwezi wa 6 mwishoni mpaka wa saba watu watakuwa wanavuna.
Sasa je kama sahv gunia ni bei hiyo inamana kufikia mavuno bei itashuka mpaka 25000 kwa 20000 gunia?
Wakulima tuna moyo sana MUNGU atusaidie tu
Mazingira ya Kilindi bado sijayafahamu sana ila Kwediboma, na Kibrashi nasikia mashamba ya kukodi yapo ila sijui bei.Gwallo habari, hapo kilindi mashamba yanakodishwa bei gani mkuu
Bado ni 40,000/=..?Huku Sumbawanga mahindi ni 40000
Bei imefikaje huko saivi..?Mswaki kabla ya Kwinji.
Wakuu nimeamini sisi wakulima wadogo wadogo hatutokaa tupate utajiri kupitia kilimo kamwe,
Nimeshangaa bei za mahindi kwa huku Handeni mpaka sahivi eti gunia ni 35000 ukizingatia mahindi ya mwaka yanaiva
Mbona Kiteto mwaka 2021 bei ya gunia la mahindi lilikuwa Sh 25,000/=. Unashangaa Nini Sasakwahiyo mpaka kufikia mwezi wa 6 mwishoni mpaka wa saba watu watakuwa wanavuna.
Sasa je kama sahv gunia ni bei hiyo inamana kufikia mavuno bei itashuka mpaka 25000 kwa 20000 gunia?
Wakulima tuna moyo sana MUNGU atusaidie tu
Watu wawe creative, sasa badala ya kuweka nguvu na mitaji kwenye kilimo, jaribuni kuwekeza kwenye maghala/storage za kisasa, unanunua wakati wa mavuno bei ya bure unahifadhi then unakuja kuuza kiangazi au bei zikiwa juu
Well, ni swala la kama kuna faida, kama ipo utajipanga tuu and no excuses, dunia ngumu hiiGharama za kuhifadhi ayo mazao n kubwa kuna cost zina ingia
Fumigation
Storage costs
Security cost
Kwa mkulima wa kawaida ataweza mudu hizo gharama?
mkuu morogoro sasa lipo 90,000/=Wakuu nimeamini sisi wakulima wadogo wadogo hatutokaa tupate utajiri kupitia kilimo kamwe,
Nimeshangaa bei za mahindi kwa huku Handeni mpaka sahivi eti gunia ni 35000 ukizingatia mahindi ya mwaka yanaiva kwahiyo mpaka kufikia mwezi wa 6 mwishoni mpaka wa saba watu watakuwa wanavuna.
Sasa je kama sahv gunia ni bei hiyo inamana kufikia mavuno bei itashuka mpaka 25000 kwa 20000 gunia?
Wakulima tuna moyo sana MUNGU atusaidie tu
Umelazimishwa uuze?Wakuu nimeamini sisi wakulima wadogo wadogo hatutokaa tupate utajiri kupitia kilimo kamwe,
Nimeshangaa bei za mahindi kwa huku Handeni mpaka sahivi eti gunia ni 35000 ukizingatia mahindi ya mwaka yanaiva kwahiyo mpaka kufikia mwezi wa 6 mwishoni mpaka wa saba watu watakuwa wanavuna.
Sasa je kama sahv gunia ni bei hiyo inamana kufikia mavuno bei itashuka mpaka 25000 kwa 20000 gunia?
Wakulima tuna moyo sana MUNGU atusaidie tu
Mkuu anaongelea bei kua ni ndogo,moja ya sababu inayofanya mkulima auze mahindi,ni mahitaji yanayokua yanamkabili,usidhani mtu anauza tu kisa labda KALAZIMISHWA.Umelazimishwa uuze?
Ungeweka bei kabisa.Mwenye kuhitaji mahindi/Maharage soya ya njano Arusha, na atakayenishawishi kwa kunipa bei nzuri, anicheki PM nimuuzie. Nina gunia 30, na maharage Soya ya njano Gunia 12.......
Weka bei acha longolongoMwenye kuhitaji mahindi/Maharage soya ya njano Arusha, na atakayenishawishi kwa kunipa bei nzuri, anicheki PM nimuuzie. Nina gunia 30, na maharage Soya ya njano Gunia 12.......
"...atakayenishawishi kwa kunipa bei nzuri, anicheki PM nimuuzie.."Weka bei acha longolongo