"...atakayenishawishi kwa kunipa bei nzuri, anicheki PM nimuuzie.."Ungeweka bei kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"...atakayenishawishi kwa kunipa bei nzuri, anicheki PM nimuuzie.."Ungeweka bei kabisa.
nauza mahindi meupe,Bado ni 40,000/=..?
Naweza nikaja hata week ijayo, inshallah
Ungeweka bei kabisa.
Weka bei acha longolongo
42000 as per todayVipi Bei za mahindi zinasomekaje huko handen mkuu
Hapana, ni 77k mpaka 84kmkuu morogoro sasa lipo 90,000/=
Hio bei ya daslama kijana. Iringa saivi bei ni 400@kg , bei ya juu sana hio.nauza mahindi meupe,
bei 550 @kg
yapo iringa-ipogolo, umbali wa nusu kilometa kutoka stand ya ipogolo.
mahnd ni mapya sijayapiga dawa
Nina tani 15
karibuni.
Mkoa gani mkuu hii beiHapana, ni 77k mpaka 84k
Morogoro. Shambani tunachukua kwa 74k maana wanunuzi wa dar washavamia, tunaongeza 3k to 5k kufaulisha. Hakuna hata faida kubwa. Basi tu tunakimbizana na mzunguko.Mkoa gani mkuu hii bei
Ukienda Songwe, Mpanda, Rukwa, n.k ukatangaza unanunua kwa 60,000 ndani ya siku moja utajizolea matani mpaka uvimbiweMorogoro. Shambani tunachukua kwa 74k maana wanunuzi wa dar washavamia, tunaongeza 3k to 5k kufaulisha. Hakuna hata faida kubwa. Basi tu tunakimbizana na mzunguko.
Mchawi usafiri, bila 3.5M gari haliwashwi. Sasa si yale yale tu.Ukienda Songwe, Mpanda, Rukwa, n.k ukatangaza unanunua kwa 60,000 ndani ya siku moja utajizolea matani mpaka uvimbiwe
Yani Gunia tsh 74,000?Morogoro. Shambani tunachukua kwa 74k maana wanunuzi wa dar washavamia, tunaongeza 3k to 5k kufaulisha. Hakuna hata faida kubwa. Basi tu tunakimbizana na mzunguko.
7Yani Gunia tsh 74,000?
La debe saba au Sita
We wa kilindi naomba tuwasiliane whatsaap 0754293162 nina taarifa nzuriMkuu Eddy ruta kwa kweli kilimo ni pasua kichwa mimi ni jirani yako nalima Kilindi. Tutapea update ya bei ya mazao kadiri siku zinavyokwenda.
Asante mkuu, nakuja hewani si muda mrefu.We wa kilindi naomba tuwasiliane whatsaap 0754293162 nina taarifa nzuri
Mkuu Kwa Sasa mahindi yamesimama na bei ya sh ngapi huko?Wakuu nimeamini sisi wakulima wadogo wadogo hatutokaa tupate utajiri kupitia kilimo kamwe,
Nimeshangaa bei za mahindi kwa huku Handeni mpaka sahivi eti gunia ni 35000 ukizingatia mahindi ya mwaka yanaiva kwahiyo mpaka kufikia mwezi wa 6 mwishoni mpaka wa saba watu watakuwa wanavuna.
Sasa je kama sahv gunia ni bei hiyo inamana kufikia mavuno bei itashuka mpaka 25000 kwa 20000 gunia?
Wakulima tuna moyo sana MUNGU atusaidie tu
Nipo mswaki piaMswaki kabla ya Kwinji.
Nachingwea Lindi ni 32
Mpwapwa sehemu gani mkuu?COMORIENNE said:Njoo ulime Mpwapwa huku mkuu laranga,Alizeti,Mtama mweupe uone kama hauja kutoa
Being za msimu hizoWakuu nimeamini sisi wakulima wadogo wadogo hatutokaa tupate utajiri kupitia kilimo kamwe,
Nimeshangaa bei za mahindi kwa huku Handeni mpaka sahivi eti gunia ni 35000 ukizingatia mahindi ya mwaka yanaiva kwahiyo mpaka kufikia mwezi wa 6 mwishoni mpaka wa saba watu watakuwa wanavuna.
Sasa je kama sahv gunia ni bei hiyo inamana kufikia mavuno bei itashuka mpaka 25000 kwa 20000 gunia?
Wakulima tuna moyo sana MUNGU atusaidie tu
Na yacpopanda?Hifazi mkuu,njaa Haina baunsa yakipanda hata laki watu tutanunua!