Bei ya mahindi kwa gunia la debe 6 lafika shilingi 9000

ip
Za jioni wandugu, naomba tushirikiane kuwaonea huruma wakulima mazao yanashuka bei ilhali pembejeo bei iko juu. Mliokaribu na wanasiasa washitueni 2020 sio mbali
mikoa gani hiyo kwa bei hiyo? kwa kuwa soko linaonekana mahindi mwaka huu sio mengi kama mwaka jana kwa miji kama dodoma bei ya chini inasimamia 6000 debe
 
Bado kwa mkulima hailipi hata Nusu ya gharama niliyotumia....
 
Za jioni wandugu, naomba tushirikiane kuwaonea huruma wakulima mazao yanashuka bei ilhali pembejeo bei iko juu. Mliokaribu na wanasiasa washitueni 2020 sio mbali
Wanasema kushuka kwa bei ya vyakula ndio kushuka kwa mfumuko wa bei. Kwa hiyo mpaka Desemba mfumuko wa bei utakuwa 0.
 
Za jioni wandugu, naomba tushirikiane kuwaonea huruma wakulima mazao yanashuka bei ilhali pembejeo bei iko juu. Mliokaribu na wanasiasa washitueni 2020 sio mbali
Kwa Dar gunia sh ngapi? Nataka gunia tano wakuu za kula
0716 282670
 
Back
Top Bottom